Wanasiasa uchwara wakwama kwenye igizo lao huko Tabata

Hahaaa pisi flani hivi, ukiwa maarufu una hela the future is promising hukosi mrembo wa kuoa. Tena huyo halima aligombana na babake kisa zito Hadi jiwe aliwahi kumchamba kisa zito
Dah Mungu nijalie hela nyingi na mie 😂😂😂 dunia haina maana bila hela akyanani
 
Kweki ukiwa kichaa na mjinga sio wewe unaumizwa na ukichaa wako bali wale wanaokuzunguka. Kuna watu hawana akili huku duniani daah . Mtoa mada sijui kama ata anajua katiba ni kitu gani
 
Siasa za majitaka na za uchwara hatimaye zimapitwa rasmi. Hii mi kutokana na muitikio mdogo wa watu kujitokeza kwenye igizo lao la kudai kitu ambacho hata hawakijui.

Hii ni meseji kwao kuwa wananchi wamechagua maisha, pesa na amani kuliko hiyo sijui katiba. Hivyo niwaombe wananchi wote waendelee kuwapuuza hawa wanasiasa uchwara.

Na Kama wataendelea kushupaza shingo basi huu mwaka ni rasmi chama chao linaenda kuzikwa. Hivyo nitoe rai pia kwa wote waliolaghaiwa na hawa wanasiasa uchwara kujikita zaidi kwenye kutafuta pesa na kuinua uchumi wao badala ya kuwa oyaoya kwa vitu vya ajabu ajabu.

#kazi iendelee#
Uchumi kwanza

Wewe ni Raia wawapi usiona I muhimu wa katiba mpya ?
 
Kuna vitu vinachekesha sana leo kwenye kitchen party yao ya siasa wameanza kumtisha Raisi.

Ni kwamba hakuna watu wanajua mamlaka ya raisi huko kwenye kikundi chenu? Kama hamna anaejua basi tafuteni anayejua awaambie.
Hivyo vitisho havitafanikiwa, maana mtashikishwa adabu.

Hebu ona walevi wa faru John ambao wanafanya biashara ya siasa nao wanaongea kumtisha Raisi. Hivi mnamjua vizuri raisi?
Kuna watu wanawakwepa kuwaambia ukweli, Ila Mimi nitawaambia tu hata mkinuna mkitukana ni hivi HAKUNA JAMBO LENU LITALOFANIKIWA KWENYE SIASA, HAKUNA

hivyo huo muda ni bora muutumie kufanya kazi na kukuza uchumi.
#kazi iendelee#
Wewe ni mchicha mwiba. Watakua wanakupindua wahuni. Hueleweki unashida gani. Umeanzisha mada kuwa hakuna watu sasa umebadili gear angani baada ya kuaibishwa mchana kweupe.

Muda mwingine ni bora ukakaaga kimya ufiche uzwazwa wako.
 
Siasa za majitaka na za uchwara hatimaye zimapitwa rasmi. Hii mi kutokana na muitikio mdogo wa watu kujitokeza kwenye igizo lao la kudai kitu ambacho hata hawakijui.

Hii ni meseji kwao kuwa wananchi wamechagua maisha, pesa na amani kuliko hiyo sijui katiba. Hivyo niwaombe wananchi wote waendelee kuwapuuza hawa wanasiasa uchwara.

Na Kama wataendelea kushupaza shingo basi huu mwaka ni rasmi chama chao linaenda kuzikwa. Hivyo nitoe rai pia kwa wote waliolaghaiwa na hawa wanasiasa uchwara kujikita zaidi kwenye kutafuta pesa na kuinua uchumi wao badala ya kuwa oyaoya kwa vitu vya ajabu ajabu.

#kazi iendelee#
Uchumi kwanza

we mlugaluga wa lumumba haya sikiliza wanaume tunaongea

Watu tu wamechoshwa na siasa. Waabaki kuangalia tu. Tangu uhuru tumembiwa mengi maara tufunge mikanda lakini hatujaambiwa tufungue. Mara uchmi umekua mara umeporromoka. Huu msemo wa subira yavuta heri kwa hali hii hau apply kabisa. Sasa tumeambiwa tusubiri uchumi usimaamishwe lakini kipimo gani hatujui.
Sasa ni katiba mpyaa vs uchumi, sasa anapenda vyote ndo yule aliyetulia hana upande. Hilo ndo la kufahamu.
 
Back
Top Bottom