Kwa kweli serikali inatakiwa kuchukua hatua za uhakika katika kukabiliana na tatizo la umeme hapa Dsm mambo yanazidi kuwa magumu sana sijui wenzangu mnaonaje kuhusu suala hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.