Wanasiasa: Tupunguze kuchamba kwingi ni hatari!!!

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
981
1,000
Ni ushauri kwa wanasiasa wetu hasa wale wanaojiita wa upinzani hebu jitahidini mpunguze kuchamba kwingi mnajishushia hadhi. Nimekuwa nikishuhudia mkitoa matamko yasiyo na tija wala weledi kwa ujenzi wa taifa letu.

Kila kukicha ni kukosoa tuuuu hakuna kizuri cha serikali yetu. kiukweli sisi wananchi wa kawaida tunapata taabu saanaa ya kuwaamini na mnatufikisha mahala tunawaona kama vile kuwepo kwenu kikatiba ni zigo la mavi kwa taifa.

Nawasihi mtambue umuhimu wenu na majukumu yenu kwa nchi yetu. Hebu mjitahidi kujenga hekima, maarifa na busara kama mzee Lowasa.

Acheni kutumika kwa wasiolitakia mema taifa letu. Mjitafakari kabla ya kutamka na kutenda.

Ni ushauri tu.
 
jnhiggins

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
1,622
2,000

Kazi ya upinzani ni kukosoa ili serikali iliyopo madarakani iweze kufanya vizuri zaidi
 
m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
981
1,000
Kazi ya upinzani ni kukosoa ili serikali iliyopo madarakani iweze kufanya vizuri zaidi
Nakubaliana na wewe mkuu ila si sahihi kukosoa hata kile kilicho chema. Tujifunze kwa wenzetu wa magharibi mbona wao wanamaendeleo makubwa duniani lakini upinzani wao haukosoi kila kitu? kwenye kizuri husifu tofauti na sisi ambao hukosoa hata chema au chenye manufaa kwa nchi. Tujirekebishe jamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom