WANASIASA tubadilishieni wimbo!

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
Ndugu wana jamvi salamu kwenu,
Imekuwa ni kawaida hasa jukwaa hili kukuta thread mbali mbali zikijadili watu, kwa mtazamo wangu umefika wakati kwa wanasiasa na wadau wengine kuleta hoja ambazo zitasaidia kujenga nchi na umoja wa kitaifa, kwa mfano Naibili alete hoja akielezea kwa nini watanzania ni masikini na kueleza ni nini kifanyike.
Binafsi sikubaliani na hoja kama fulani miaka kadhaa bado anaishi kwao, mara fulani cv yake hii hapa, mara babu bado ana kadi ya chama chetu hii kwa mustakabali wa taifa itatusaidia nini? tunapata faida gani tukimjadili mtu? tuna mambo mengi tunaweza kuyajadili na yakasaidia kuleta mageuzi, binafsi nnaona kama ni njama ya baadhi ya wanasiasa kutupumbaza tusijadili mambo ya msingi.
Nawasilisha.
 
Upo sawa kabisa kwani Tz watu wanadhani bila fulani hakuna siasa, mm naamini hata nje ya vyama kuna siasa sio kila siku Nape, Mwigulu, Zitto, Kiwete nk. Kwani bila hii mizimu hakuna siasa?
 
Upo sawa kabisa kwani Tz watu wanadhani bila fulani hakuna siasa, mm naamini hata nje ya vyama kuna siasa sio kila siku Nape, Mwigulu, Zitto, Kiwete nk. Kwani bila hii mizimu hakuna siasa?

kuna watu wamekariri majina.
 
Huyo kakariri majina na kila leo antaja hayo hayo tena kwa ubaya na hata leo kathubutu kuyataja hata kama kataadharishwa. Kilaza mkubwa
 
Back
Top Bottom