Wanasiasa tazameni hili na mtafakari...


Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,962
Likes
1,420
Points
280

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,962 1,420 280
WAKATI WA VUGUVUGU LA KUPIGANIA UHURU WA MSUMBIJI, SAMORA ALIKUTANA NA MWALIMU (wote marehemu sasa) SAMORA AKAMUULIZA MWALIMU "HIVI WEWE MBONA UJAMAA WAKO UNAUENDESHA POLE-POLE???" MWALIMU AKAMJIBU "KWA HUKU KWETU INABIDI KWENDA HIVI" SAMORA AKAMWAMBIA "MIMI UTAONA NIKIKAMATA NCHI, NITATAIFISHA KILA KITU NA KITAKUWA MALI YA SERIKALI" Na kweli baada ya uhuru alitekeleza alichokisema. Haikuchukua muda mrefu yaliyotokea yote Msumbiji sidhani hakuna anayeyajua.

Kwa hili basi napenda tujifunze kitu kutoka humo. hususan wanasiasa na wale wanaotarajia kuingia kwenye siasa.
 

Forum statistics

Threads 1,204,374
Members 457,240
Posts 28,155,488