Wanasiasa Siku zingine msirudie tena hili Kosa kwani mnatuchosha na kuanza kutufanya tuwaone hamna tena jipya

Nionyeshe ni wapi nimevitaja Vyama vya Upinzani hasa hicho chako amacho Kimejaa ' Wapumbavu ' watupu kama alivyosema Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Mkapa viwanja wa Jangwani mwaka 2015. Maelezo yangu yapo wazi kabisa kuwa nimevitaja Vyama vyote vya Siasa nchini Tanzania kikiwemo hapa kile ambacho nakishabikia hivyo yoyote yule ambaye labda atahisi kuwa nimeanzisha huu ' Uzi ' kuwasema Wanasiasa fulani au Chama fulani cha Kisiasa basi atakuwa ni ' CERTIFIED IDIOT ' wa Kutukuka kabisa.
We mpumbav huna jipya,umeongea kuvitukana vyama vya upinzani idiot,mpe ushauri huo Rais wako ambaye zinajirudia rudia kila wakati,stiff insolent naked fool!!!!!
 
Moderators ni kama wapo kwenye mgomo baridi! Threads za hovyo zinajaa barazani kiasi cha kuficha baadhi threads chache nzuri!

Bahati nzuri huwa hawaongozwi na akili za ' Wapumbavu ' wachache na ' Waswahili Waswahili ' bali wanaongozwa na ' Uweledi ' wao na nawashukuru mno kwa Wao kuwa na Msimamo kwani kama ingekuwa ' Moderators ' wanasikiliza kila Kilio au Dukuduku la Mtu hapa sidhani kama JamiiForums ingekuwa JamiiForums tena.

Halafu kuna wale Wasomi Wapuuzi ambao Kutwa mnasema kuwa Hadhi ya JamiiForums imeshuka kama siyo kupungua je kwakuwa nyie mnajiita Wasomi mnaweza kunipa ' Scientific Research ' yenu ambayo inaweza Kuonyesha au Kuakisi hizo Kauli zenu ambazo nadiriki Kuziita ni za Kiswahili kama siyo Majungu?

Ukweli ni kwamba wengi wenu mnasumbuliwa na Vitu vikubwa Vitatu ambapo Kwanza mmetangauliza Chuki zenu kwa Mtu Fulani kwa sababu zenu mnazozijua wenyewe ambazo naweza kudiriki kusema kuwa ni za Kipumbavu na Pili wengi wenu mpo hapa JamiiForums kutaka tu kupata yale Maudhui ambayo nyie ama mnayataka au mnalazimisha muwe mnayaona kila mara kitu ambacho hakiwezekani na kitakuja Kuwateseni mno na Tatu mnatanguliza Hisia zenu za Kisiasa na Kianaharakati ambapo mkihisi tu fulani ni wa Chama fulani basi huwa mnapenda ' Kufyatuka ' kwa pupa kama Bao / Goli la Kwanza Mwanaume akiwa na Mwanamke Mapenzini.

Mwisho kabisa nadhani walioanzisha JamiiForums walikuwa na akili kuliko Mimi na Wewe na wengineo pia na ndiyo maana kila Siku huwa siachi kuwakongole ( Kuwasifu ) Waanzilishi wa huu Mtandao akina Maxence Mello na Mike Mushi kwamba Kwangu Mimi hawa Watu siyo tu kwamba ni ' Intelligent ' bali ni ' Geniuses ' kabisa kwani walitulia na wakakaa chini na Kubuni Kitu Kikubwa na Kizuri kama hiki ambapo waliweza kuwaka Majukwaa mbalimbali kutokana na ' Interests ' za Watu ( Members ) hapa hivyo ukiona Jukwaa fulani au Uzi fulani haukufai au huupendi basi unaweza kwenda Kwingineko ila kwa ' Wapumbavu ' kadhaa imekuwa ni tofauti.

Halafu mnasema na kujinasibu kila Uchao hapa Jamvini kuwa mmesoma au mna Elimu wakati kumbe ni ' Hopeless ' wakubwa!

Cc: THE LOST , Matola , Tigershark, GreenCity
 
We mpumbav huna jipya,umeongea kuvitukana vyama vya upinzani idiot,mpe ushauri huo Rais wako ambaye zinajirudia rudia kila wakati,stiff insolent naked fool!!!!!

Nasisitiza tena waambieni hao Wanasiasa wenu ' Wapuuzi ' kuwa wanapoitisha ' Press Conferences ' zao wawe wanatupa mambo makubwa na mazito yaliyo mapya Kwetu na siyo kurudiarudia tu yale yale tuliyokwishayajua na yametuchosha Kuyasikia vile vile. Ukiona unarusha Jiwe Gizani halafu ukasikia Vilio vya Wachache jua limefika kwa ama Yule uliyemlenga au Wale uliowalenga. Na kwa ' Mapovu ' yenu haya nafurahi mno kama siyo sana tu kwani lengo langu limetimia.
 
Kama unafurahi kwa upuuzi kama huo basi wewe ni mwendawazimu,mi nafurahi kuona leo biashara zangu zimeenda sawa,shwain pathetic fool!
 
Nawaza niichukue hii post kiccm ccm au kuchadema chademaaa!!???

Sent using Jamii Forums mobile app

Hesabu wale ambao wameupokea vibaya huu Uzi na wale walioupokea vyema kisha ukiona upande wa walioupokea vibaya ndiyo wengi basi nawe ichukulie hii ' Mada ' kuwa imewalenga wao. Ninachojua ' Kombora ' langu la ICBM si tu kwamba limetua bali pia limefika nilikokusudia na sasa madhara ya hilo ' Bomu ' yanaanza kuonekana kwa Wahusika kulialia na kuomba msaada UN.
 
Kuna watu wameingiwa na ugonjwa wa kuogopa watu wengine wakisema.Bahati mbaya sana watu wataendelea kusema hadi kieleweke.

Baada ya kusema yale yale kuna lolote limebadilika au chochote kimebadilika? Waambieni hao Wanasiasa wenu kuwa ' Press Conferences ' zao Siku zingine ziwe na mambo mapya, yenye Tija na Mantiki na siyo Kuwapotezea tu Watu na Watanzania muda kwa Vitu vya Kipuuzi kabisa ambavyo vinajulikana tokea Mkoloni alipotuachia hii nchi.
 
Kama unafurahi kwa upuuzi kama huo basi wewe ni mwendawazimu,mi nafurahi kuona leo biashara zangu zimeenda sawa,shwain pathetic fool!

Na leo ' nakupanikisha ' makusudi ili utukane ' Matusi ' yote Mkuu. Najua nimeshawashika pabaya na ndiyo maana sasa mmeanza Kupepesuka huku Mimi nikiwachekeni tu kwa Dharau na Kuwasanifu. Ukijua Kucheza na Saikolojia ya ' Wapumbavu ' wengi ni raha na burudani mno. Asubuhi yangu inaenda vizuri kabisa.
 
Nenda toti kafanye taarabu zako,mpuuzi mpuuzi mmoj hivi,nati zitakuwa zimekulegea we ajuza!

Mkuu leo ni Siku yako ya Kuyatoa ' Matusi ' yote Kwangu na nakuomba endelea tu kuyatoa kwani Mimi huku Kwangu ni burudani tosha na umenisaidia pia kujua kuwa ' Uzi ' wangu huu umefika kule ambako nilikuwa nimekulenga na ndiyo maana mkiambiwa GENTAMYCINE ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " msiwe mnabisha au mnakataa.

' Kombora ' langu la ICBM limefika pale pale!
 
Na leo ' nakupanikisha ' makusudi ili utukane ' Matusi ' yote Mkuu. Najua nimeshawashika pabaya na ndiyo maana sasa mmeanza Kupepesuka huku Mimi nikiwachekeni tu kwa Dharau na Kuwasanifu. Ukijua Kucheza na Saikolojia ya ' Wapumbavu ' wengi ni raha na burudani mno. Asubuhi yangu inaenda vizuri kabisa.
Endelea kuonesha upumbav wako,eti mtu asubuhi yako inaenda vizuri,ukiulizwa kwanini basi unataja sababu kama hizo,aiseee kweli binadamu tunatofautiana!
Mi ningepata burudani kama ningeajua leo mzigo umeisha mapemaa kabisaaa hivyo kwenda kukalia stuli ndefu nikitafakari mianya mipya ya kupanua biashara!!!!
Daaah,kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake!!!!!Endelea kufurahia upuuzi,teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom