Wanasiasa: Please diffferentiate between Grants and Loans - Mnatuchanganya sana

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Ninajisikia vibaya kama Raia wa Tanzania pale ambapo wanasiasa wetu wanafanya kwa makusudi kabsa kufanya kwamba hakuna tofauti ya Msaada na Mkopo... It is clear kwamba mkopo sio msaada ... please be carefully,

Please wabunge na wanasiasa wengine muwe mnaweka wazi hizi tofauti... si kweli kwamba kuna tatizo ya msamiati... everything is clear

Msaada == grant
Mkopo == loan....

Na mtuambie tangu lini Benki iwe AfDB, World Bank zinatoa misaada ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom