Wanasiasa nisaidieni, Zanzibar kuifunga Tanzania bara huko Cecafa ni Uzalendo?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,413
Kimichezo inakubalika lakini kisiasa hii imekaaje? Tulishindwa kweli kuishia sare ya 1 - 1 hadi Zenji watake sifa kwa kufunga goli lingine!! Huu ni uzalendo au tuiteje, nauliza tu mwanawane!
 
TZ siasa kila leo hakuna mpira utakaochezwa hadi siasa zikitoka uwanjani, sijui kwa vile viwanja vingi wanavyotumia kuchezea hawa wachezaji vinamilikiwa na vyama vya siasa ndio maana.
 
Na siku wazanzibar watakapo jitawala vizuri basi watatufunga kila saa (sio kila siku),yaani muokote Kocha from no where eti kisa anajua kiingereza ndio aje apewe timu ya taifa halafu tutegemee huruma ya zanzibar
 
Unataka kutuaminisha kocha ndio tatizo!
 
Na siku wazanzibar watakapo jitawala vizuri basi watatufunga kila saa (sio kila siku),yaani muokote Kocha from no where eti kisa anajua kiingereza ndio aje apewe timu ya taifa halafu tutegemee huruma ya zanzibar
Hivi yule kocha mchovu kaokotwa wapi ?
 
Kimichezo inakubalika lakini kisiasa hii imekaaje? Tulishindwa kweli kuishia sare ya 1 - 1 hadi Zenji watake sifa kwa kufunga goli lingine!! Huu ni uzalendo au tuiteje, nauliza tu mwanawane!
ile si tumewaachia tu ili walau wajione na wao taifa..hahaha, si uliona walivyofurahi utafikiri walicheza na spain. mmoja ndo kasema alikuwa anaota ndoto siku zote aifunge stars kwasababu haijawahi kumpanga kikosini,...ajabu yake ni kwamba hatakuja kupangwa milele kwasababu wale ni watoto wetu tu tumeamua kuwaachia wafurahi. sawa na north korea kuamini anaweza kumpiga marekani wakati hata Russia na china wanamgwaya mmarekani.
 
Ni UZALENDO SANA - sasa nyinyi mlitaka sisi Wazanzibari tusiingie nusu fainali?? Nyinyi wabara vipi nyinyi???
 
Back
Top Bottom