Wanasiasa nao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa nao!

Discussion in 'Jamii Photos' started by eRRy, Mar 18, 2010.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Wanasiasa wa jiji la Roma wakionyesha nguo zao za ndani walipokuwa wakipinga sera ya Gianni Alemanno aliyegoma kupitisha bajeti ya mji huo
  .

  Katika kile kinachoonyesha sasa wanasiasa wa nchini Italia wamecharuka kwa kutaka maendeleo, hivi karibuni maofisa wa Manispaa wa jiji la Rome, walikusanyika na kufanya maandamano kwa kuvua suruali zao wakilazimisha kupita kwa bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka 2010.

  Moja kati ya bango walilokuwa wamebeba lilisomeka "Maeneo ya kupaki na bustani zimevunjwa", "Watu hawana makaziĀ”
  Meya Sandro Medici wa Cinecitta alimtaja mwanasiasa Alemanno aliyekataa kupitishwa kwa bajeti hiyo kutokana na kudai kuwa na kodi ambazo sio za msingi.
   
 2. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii kitu huku kwetu hairuhusiwi isee, unaeza ona vitu vya ajabu!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kweli siasa kazi kwa style hii
   
Loading...