mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,373
- 5,600
Mkuu nimecheka hiyo yakusema eti anaumwa sana anaomba achukuliwe.Aiseeee
hayajakufika ndio maana umecheka kwa sauti
hayajakufika ndio maana umecheka kwa sauti
Labda naye alimdhihaki Lowassa maana tunaambiwa kila amtukanaye Lowassa lazima augue na kufa.unataka mwana siasa gani mwingine aende?