Wanasiasa na viongozi wote watoto wao wasome shule za umma

hizi picha nikizionaga insta nazanigi ni editing kumbe kweli na waziri kapiga nao picha hivyo hivyo hahahaaa duh kweli hatareee
 
Lakini hii haimaanishi watu binafsi wasipeleke watoto wao binafsi hapa iwe hasa kwa Viongozi wakubwa na lengo ni kuziboresha shule za umma mbona watoto wa wakubwa wanasoma vyuo vikuu vya umma kwa sababu vyuo vimeboreshwa sana kuzidi hata vya private huwezi kuta mtoto wa mkubwa anasoma Sauti ya Songea au St John tawi la Tabora wote wanaenda SUA, UDOM, UDSM, MZUMBE
Kwa sababu waheshimiwa mnaowalenga ndio wako bungeni hawatoipitisha abadani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hii haimaanishi watu binafsi wasipeleke watoto wao binafsi hapa iwe hasa kwa Viongozi wakubwa na lengo ni kuziboresha shule za umma mbona watoto wa wakubwa wanasoma vyuo vikuu vya umma kwa sababu vyuo vimeboreshwa sana kuzidi hata vya private huwezi kuta mtoto wa mkubwa anasoma Sauti ya Songea au St John tawi la Tabora wote wanaenda SUA, UDOM, UDSM, MZUMBE

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata km ningekuwa mbunge ningepinga
Haiwezekani ukosefu wa fedha za kodi ama misaada uje unitese mimi na watoto wangu

hata leo hii wewe ukiwa mbunge ama waziri utaboresha hizo shule ghafla ghafla?.,fedha utatoa wapi nyingi na haraka?.
Its a process
 
Back
Top Bottom