Wanasiasa: Kwa nini mnaficha majina yenu humu ndani wakati tunajua mpo?

Status
Not open for further replies.

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,695
785
Ni aibu ya hali ya juu mwanasiasa ambaya anasema anatetea wananchi kuficha jina lake halisi akiwemo humu JF!

Binafsi nampongeza Dr. Slaa na Mh. Zitto kwa mara nyingine kuweka majina yao wazi... na hivyo pia kujua maoni yao katika mambo mbalimbali.

Ni heshima wanasiasa kuweka wazi majina yenu ili kuifanya JF kuwa chombo cha habari cha kuheshimika... na kupunguza wale wenzetu wanaofanya hapa ni mahali pa kupiga soga!

Mwanasiasa imara huwa hana woga wa kutoa maoni yake asikike! hata hivyo pia kwa kuwa wazi ana-promote transparency kwenye jamii yake.

Kwa vyovyote vile mnapoingia hapa kuna mnavyopata na tunawasikia mkitoa hoja kule kwenye lile jumba tukufu... tunaona kabisa maoni mumeyatoa hapa... ni wajibu wenu pia kurudishia jamii kidogo (social responsibility) kwa kutoa mawazo yenu ya ujumla na ya namna gani mnapenda JF iwe!

Mukiweka majina yenu... lengo la JF kuwa ya forum/jukwaa la KiJamii itakuwa imekamilika na kwa hakika tutaonekana sisi ni wazalendo wa hali ya juu kwa taifa letu.

Mwisho wenzetu mnaopenda matusi, kejeli na personality tupunguze tena ili kuvuta watu wengi makini.
 
Labda hawana majibu ya maswali ya wananchi dhidi ya tuhuma dhidi ya serikali na chama chao. Umewasahau wanasiasa wengine humu waliojitambulisha Freeman Mbowe, John Mnyika, Kitila Mkumbo bila kumsahau Asha Abdala, wote kutoka CHADEMA.

Yani hata balozi wa nyumba kumi tu naye anaogopa kujitambulisha humu, sasa itakuwaje kwa Chiligati na Makamba nk!

Asha
 
Mwanasiasa imara huwa hana woga wa kutoa maoni yake asikike! hata hivyo pia kwa kuwa wazi ana-promote transparency kwenye jamii yake. Hii inapunguza ushabiki usio na msingi.

Kwa vyovyote vile mnapoingia hapa kuna mnavyopata na tunawasikia mkitoa hoja kule kwenye lile jumba tukufu... tunaona kabisa maoni mumeyatoa hapa... ni wajibu wenu pia kurudishia jamii kidogo (social responsibility) kwa kutoa mawazo yenu ya ujumla na ya namna gani mnapenda JF iwe!

Mukiweka majina yenu... lengo la JF kuwa ya forum/jukwaa la KiJamii itakuwa imekamilika na kwa hakika tutaonekana sisi ni wazalendo wa hali ya juu kwa taifa letu.

Mwisho wenzetu mnaopenda matusi, kejeli na personality tupunguze tena ili kuvuta watu wengi makini.

Hilo jina la kasheshe ni la kwako??? Kumbuka mwanasiasa ni binadamu kama wewe. Ina maana na wewe ukijiunga na siasa utaweka jina lako la kweli hapa JF???

Tunachoangalia hapa ni hoja na si nani katoa hiyo hoja.
 
Nikiingia kwenye Siasa YES... by then I will be Public figure... sasa hivi ni Private figure... kwi kwi kwi
 
uhuru wa kuheshimiana kimawazo lazima udumishwe anaependa kuweka wazi na aweke ila sisi wengine hatuoni kamakuna umuhimu huo

tunajisikia huru zaidi kuchangia katika hali hii na kujisikia uhuru zaidi wa kutoa mawazo yetu

na tunaamini huenda ikawa si sahihi kuwa ukiweka jina lako inakuwa vigumu kutoa mchango wako katika baadahi ya maeneo kwa kuhofia mawazo yako yanaweza yakasababisha mazara makubwa katika chama chako

nnnamini ndio maana dr slaa anachangia kwa woga na pia mbowe muhuni akaikimbia kabisa

pia inakua ni rahisi kupata upinzani mkubwa na kujisikia ukibanwa kila wakati
 
Nikiingia kwenye Siasa YES... by then I will be Public figure... sasa hivi ni Private figure... kwi kwi kwi

Nakubaliana na kasheshe kuwa viongozi wetu wa kisiasa wawe na majina yao ikiwezekana.

Kwani wakishaanza kuhisiwa kwa majina tofauti kwasababu ya watu wenye majina hayo feki kuwatetea kwa nguvu zote watu wakati wa kukata issue then hapo sijui nani wakulaumiwa.

Wananchi wa kawaida wanaweza kuwa ananymous almurad hawaleti matusi na viwango viwekwe ili mambo ya nje ya hoja yasipewe nafasi.

Kuwe na mswali HONEST SAMBAMBA NA MAJIBU YAKE.

Silazimishii kuwa watu wawe open identitywise..NO.

Kuna watu kama kina INVISIBLE ambao HATUTAKI KABISA WAWE identified at least kwasasa au maybe NEVER AT ALL!

Na kama ni taratibu za dataz...Basi namna ya kuzifikisha hapa si shida kabisa...Ila hao wanasiasa wazijibu sisi ni wananchi wa kawaida tu.
 
Kwani hii tunayoifanya hapa si sawa tu na kazi ya siasa! Humu wapo wanaotetea maslahi ya taifa kikwelikweli, wapo waongo, wapo spin doctors, wapow asanii, wapo wapiga porojo... kila aina ya watu wamo tu na ndio maana tunaona kila aina ya michango kama ilivyo kwa wanasiasa!
 
Labda hawana majibu ya maswali ya wananchi dhidi ya tuhuma dhidi ya serikali na chama chao. Umewasahau wanasiasa wengine humu waliojitambulisha Freeman Mbowe, John Mnyika, Kitila Mkumbo bila kumsahau Asha Abdala, wote kutoka CHADEMA.

Yani hata balozi wa nyumba kumi tu naye anaogopa kujitambulisha humu, sasa itakuwaje kwa Chiligati na Makamba nk!

Asha

MAkamba anajua kutumia internet?I didnt know that.Anyways suala siyo kutaja jina suala ni umetoa a constructive idea ukasaidia kujenga nchi yako.Labda ndugu yangu hujui ni kiasi gani unachangia maendeleo ya taifa lako humu JF.Waache wanasiasa wa hide identities ilimradi tunajua michango yao.
 
Ni aibu ya hali ya juu mwanasiasa ambaya anasema anatetea wananchi kuficha jina lake halisi akiwemo humu JF!

Binafsi nampongeza Dr. Slaa na Mh. Zitto kwa mara nyingine kuweka majina yao wazi... na hivyo pia kujua maoni yao katika mambo mbalimbali.

Ni heshima wanasiasa kuweka wazi majina yenu ili kuifanya JF kuwa chombo cha habari cha kuheshimika... na kupunguza wale wenzetu wanaofanya hapa ni mahali pa kupiga soga!

Mwanasiasa imara huwa hana woga wa kutoa maoni yake asikike! hata hivyo pia kwa kuwa wazi ana-promote transparency kwenye jamii yake.

Kwa vyovyote vile mnapoingia hapa kuna mnavyopata na tunawasikia mkitoa hoja kule kwenye lile jumba tukufu... tunaona kabisa maoni mumeyatoa hapa... ni wajibu wenu pia kurudishia jamii kidogo (social responsibility) kwa kutoa mawazo yenu ya ujumla na ya namna gani mnapenda JF iwe!

Mukiweka majina yenu... lengo la JF kuwa ya forum/jukwaa la KiJamii itakuwa imekamilika na kwa hakika tutaonekana sisi ni wazalendo wa hali ya juu kwa taifa letu.

Mwisho wenzetu mnaopenda matusi, kejeli na personality tupunguze tena ili kuvuta watu wengi makini.

Mbona wewe mwenyewe hujaweka jina lako kamili?ni la kufikirika tu.
 
....mimi nafanyakazi usalama wa taifa, sitopenda kujulikana hivyo nisameheni jamani!!
 
Ni aibu ya hali ya juu mwanasiasa ambaya anasema anatetea wananchi kuficha jina lake halisi akiwemo humu JF!

Binafsi nampongeza Dr. Slaa na Mh. Zitto kwa mara nyingine kuweka majina yao wazi... na hivyo pia kujua maoni yao katika mambo mbalimbali.

Ni heshima wanasiasa kuweka wazi majina yenu ili kuifanya JF kuwa chombo cha habari cha kuheshimika... na kupunguza wale wenzetu wanaofanya hapa ni mahali pa kupiga soga!

Mwanasiasa imara huwa hana woga wa kutoa maoni yake asikike! hata hivyo pia kwa kuwa wazi ana-promote transparency kwenye jamii yake.

Kwa vyovyote vile mnapoingia hapa kuna mnavyopata na tunawasikia mkitoa hoja kule kwenye lile jumba tukufu... tunaona kabisa maoni mumeyatoa hapa... ni wajibu wenu pia kurudishia jamii kidogo (social responsibility) kwa kutoa mawazo yenu ya ujumla na ya namna gani mnapenda JF iwe!

Mukiweka majina yenu... lengo la JF kuwa ya forum/jukwaa la KiJamii itakuwa imekamilika na kwa hakika tutaonekana sisi ni wazalendo wa hali ya juu kwa taifa letu.

Mwisho wenzetu mnaopenda matusi, kejeli na personality tupunguze tena ili kuvuta watu wengi makini.

Hata wale wanaotumia majina bandia wanahitaji pia kupongezwa kwa kuwapo kwao hapa maana wanayapata mengi mazuri yanayojadiliwa hapa kuhusiana na future ya nchi yetu labda ipo siku wataamua kuyafanyia kazi na pia hawajaenda kinyume na taratibu za JF ambapo wanachama wanaweza kutumia majina bandia.
 
It's a thin line between 0 and 360 degrees, love and hate, genius and crazy, anonimity for political savvy and gallant transparency, gallant transparency and Quixotic delusion, Quixotic delusion and stesmanlike resilience, statesmanlike resilience and Bushism, Bushism and the asylum.

Ingawa mimi naamini kwamba hakuna haja ya kuuonea haya ukweli (au ukweli wako to be objective)Mwanasiasa kama anaona kutojitaja jina kutasaidia cause yake ni ruksa kufanya hivyo. PR inakubalika kuwa ni kitu kizuri siku hizi, imeondolewa u phoniness, ingawa pia inategemea inavyotumika.It is a thin line between acceptable PR and Propaganda.. y'all know the rulez.

Kwa upande mmoja unaweza kusema sio lazima kwetu sie wabeba maboksi kujitangaza majina kwa sababu hatuna political public offices, salaries na responsibilities. Kwa upande mwingine mtu anaweza kusema usitake mwanasiasa afanye kile ambacho wewe huwezi kufanya.

Now where is the one handed economist?
 
Ni aibu ya hali ya juu mwanasiasa ambaya anasema anatetea wananchi kuficha jina lake halisi akiwemo humu JF!

Binafsi nampongeza Dr. Slaa na Mh. Zitto kwa mara nyingine kuweka majina yao wazi... na hivyo pia kujua maoni yao katika mambo mbalimbali.

Ni heshima wanasiasa kuweka wazi majina yenu ili kuifanya JF kuwa chombo cha habari cha kuheshimika... na kupunguza wale wenzetu wanaofanya hapa ni mahali pa kupiga soga!

Mwanasiasa imara huwa hana woga wa kutoa maoni yake asikike! hata hivyo pia kwa kuwa wazi ana-promote transparency kwenye jamii yake.

Kwa vyovyote vile mnapoingia hapa kuna mnavyopata na tunawasikia mkitoa hoja kule kwenye lile jumba tukufu... tunaona kabisa maoni mumeyatoa hapa... ni wajibu wenu pia kurudishia jamii kidogo (social responsibility) kwa kutoa mawazo yenu ya ujumla na ya namna gani mnapenda JF iwe!

Mukiweka majina yenu... lengo la JF kuwa ya forum/jukwaa la KiJamii itakuwa imekamilika na kwa hakika tutaonekana sisi ni wazalendo wa hali ya juu kwa taifa letu.

Mwisho wenzetu mnaopenda matusi, kejeli na personality tupunguze tena ili kuvuta watu wengi makini.

Ndugu Kasheshe naomba unijibu jawabu la kweli, jee na wewe umeficha jina lako au kweli unaitwa Kasheshe ?
 
Jibu la swali lako ni rahisi.
Hawatumii majina yao kwa sababu wanatumia haki waliyopewa na JF pamoja na katiba ya nchi yao.
 
Kwani hii tunayoifanya hapa si sawa tu na kazi ya siasa! Humu wapo wanaotetea maslahi ya taifa kikwelikweli, wapo waongo, wapo spin doctors, wapow asanii, wapo wapiga porojo... kila aina ya watu wamo tu na ndio maana tunaona kila aina ya michango kama ilivyo kwa wanasiasa!

Nakubaliana nawe kabisa Mheshimiwa Mpita Njia. Wacha yatumike haya majina, kwanza ni mazuri na yanavutia na mimi Pakacha ndiyo maana napenda kusoma maoni ya Mwiba na nafurahia majibu ya Mheshimiwa Kibunango katika kuweka sawa hoja hizo za Mwiba. Na Tuendelee hivi hivi.
 
Duh, Ama kweli tutafika yaani hapa naona maswali na majibu kibao tofauti lakini wote mnatumia majina bandia!..
Kazi kweli kweli....
 
Hapa ndio pale wanasema kuwa aliyeuza cheni kauza cheni bandia, aliyenunua cheni katoa pesa bandia ....hivyo ngoma drooo.
 
Nakubaliana na kasheshe kuwa viongozi wetu wa kisiasa wawe na majina yao ikiwezekana.

Kwani wakishaanza kuhisiwa kwa majina tofauti kwasababu ya watu wenye majina hayo feki kuwatetea kwa nguvu zote watu wakati wa kukata issue then hapo sijui nani wakulaumiwa.

Wananchi wa kawaida wanaweza kuwa ananymous almurad hawaleti matusi na viwango viwekwe ili mambo ya nje ya hoja yasipewe nafasi.

Kuwe na mswali HONEST SAMBAMBA NA MAJIBU YAKE.

Silazimishii kuwa watu wawe open identitywise..NO.

Kuna watu kama kina INVISIBLE ambao HATUTAKI KABISA WAWE identified at least kwasasa au maybe NEVER AT ALL!

Na kama ni taratibu za dataz...Basi namna ya kuzifikisha hapa si shida kabisa...Ila hao wanasiasa wazijibu sisi ni wananchi wa kawaida tu.

kwi kwi kwi kwi!!!!
 
Ina umuhimu gani kwa hao wanasiasa kutumia jina kamili kama wanagoma kujibu hoja? Nilishangaa Mh. Dr.Slaa alipomsikiliza Asha na kuacha kujibu maswali yangu ilikuwa ni halali yake. Bado nasubiri majibu yake na nitamkumbushia akija tena mtandaoni.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom