FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 716
Wanasiasa wa Tanzania,
Kwakweli nyie ni watu wa ajabu sana. Kila siku mnahubiri mambo ya kusadidika. Barabara karibu zote kubwa TATU zinazoingia Dar city centre kuna either sehemu zimefurika au hazipitiki. Mitaani ndo usiseme kuna picha lukuki sihitaji kuonyesha ushahidi. karibu asilimia 75 ya miundo mbinu Dar es salaam ZIMEFELI.
kimara, Segerea, Buguruni, Mbezi zote, Jangwani, Tabata, Hapa Karaibu na kiwanda cha Serengeti etc kote hoi
Hivi priority yetu ni vyandarua AU mifereji NA MIUNDO MBINU ZA KUKABILIANA NA MALARIA?.
Tuacheni kukubali miradi ambayo haina tija ya kudumu. Mifereji ya maji machafu na mvua zikiwa safi ujue wazi kuwa malaria wanaozaliana watapungua na hata hivyo vyandarua mahitaji yatapungua.
Tutokomeze CHANZO AU VYANZO VYA MALARIA na sio kujaribu ku control mbu waliokwisha kuzalishwa.
KWANINI TUNAZALISHA MBU KISHA TUNATENGENEZA VYANDARUA?
Wanasiasa acheni kuangamiza wananchi.