Wanasiasa Kumi Wanaonivutia na Ninaowapenda Tanzania

Mtoto Wabibi

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
451
294
Katika siasa za kibongo kibongo wafuatao ni wanasiasa ambao binafsi nazipenda siasa zao bila kujali itikadi za vyama.Nimewapa grade(mark) kutokana na uendeshaji wa siasa zao.

1:Jakaya Mrisho kikwete- ana A
2:Zitto Kabwe- ana B+
3:Freeman Mbowe- ana B+
4: January makamba-ana B
5:Mwigulu Nchemba-ana B
6:Anna Mghwira-ana B
7:Lema-ana B
8: John Mnyika-ana B
9: Tundu Lisu-ana C
10; Paul Makonda- ana C

Hawa Ndio wanasiasa wanaonivutia.hata hivyo kila mtu anaweza vutiwa na siasa za mtu mwingine tofauti.

Sijawahi kuvutiwa hata kidogo na siasa za JPM, Lowasa wala Kubenea japo ni watendaji kwa hiyo wakosoaji msinitajie tena haya majina matatu yani wana majina makubwa lakini wapi hata kunishawishi.
Karibuni
 
Katika siasa za kibongo kibongo wafuatao ni wanasiasa ambao binafsi nazipenda siasa zao bila kujali itikadi za vyama.Nimewapa grade(mark) kutokana na uendeshaji wa siasa zao.
1:Jakaya Mrisho kikwete- ana A
2:Zitto Kabwe- ana B+
3:Freeman Mbowe- ana B+
4: January makamba-ana B
5:Mwigulu Nchemba-ana B
6:Anna Mghwira-ana B
7:Lema-ana B
8: John Mnyika-ana B
9: Tundu Lisu-ana C
10; Paul Makonda- ana C
Hawa Ndio wanasiasa wanaonivutia.hata hivyo kila mtu anaweza vutiwa na siasa za mtu mwingine tofauti.
Sijawahi kuvutiwa hata kidogo na siasa za JPM, Lowasa wala Kubenea japo ni watendaji kwa hiyo .kwa hiyo wakosoaji msinitajie tena haya majina matatu yani wana majina makubwa lakini wapi hata kunishawishi.
Karibuni
upo sahih kwel ?
 
Naona umeamua kujihami kabisa.
 
Mwanasiasa si mtu wa kumuamini hata siku moja.

Hawa jamaa, eti kila mmoja utawakuta wakisema "nawasemea wananchi" sasa mi hijiuliza ni wananchi wa aina gani km kila mjoja anakuja na maneno yake ya kuwasemea.

Haitatokea kumuamini mwanasiasa, ntaendelea kuamini nafsi yangu na kuiunga mkono maana ndio msaidizi wangu.
 
Katika siasa za kibongo kibongo wafuatao ni wanasiasa ambao binafsi nazipenda siasa zao bila kujali itikadi za vyama.Nimewapa grade(mark) kutokana na uendeshaji wa siasa zao.
1:Jakaya Mrisho kikwete- ana A
2:Zitto Kabwe- ana B+
3:Freeman Mbowe- ana B+
4: January makamba-ana B
5:Mwigulu Nchemba-ana B
6:Anna Mghwira-ana B
7:Lema-ana B
8: John Mnyika-ana B
9: Tundu Lisu-ana C
10; Paul Makonda- ana C
Hawa Ndio wanasiasa wanaonivutia.hata hivyo kila mtu anaweza vutiwa na siasa za mtu mwingine tofauti.
Sijawahi kuvutiwa hata kidogo na siasa za JPM, Lowasa wala Kubenea japo ni watendaji kwa hiyo .kwa hiyo wakosoaji msinitajie tena haya majina matatu yani wana majina makubwa lakini wapi hata kunishawishi.
Karibuni
1. JK Kumpa A hujakosea Mzee Hana Hiyana wala Husuda yule I wish angekua Mjomba Wangu, sasa hv ningekua napumua Hewa ya China au Hong Kong Daaaadeki.
 
Yule Mzee aliyesoma Falsafa kama mi mbona hujamweka au Yuko Outdated na siasa za Bongo kwa Sasa? Dr. Nani nani Weapon yule
 
Mbowe umampendea nini ama ule mchongo. Wa 5b alikugawia
 
Wanasiasa wa CCM wanakuwaga wakweli tu kabla ya kupewa uwaziri wakishakuwa mawaziri tone zao ubadilika na kuanza kulewa power halafu wengi ni cowards and insecure of their abilities deep down.

Kwa ujumla wao wanasiasa wa Tanzania are not consistent which makes it very hard to trust those people; sifa kubwa ya kiongozi kwa nchi zilizoendelea ni kuwafanya watu kukuamini wewe kweli ni mtu wa kutatua matatizo yao. Mtu pekee mwenye consistent ya hoja labda Zitto angeacha unafiki ni mwanasiasa bora Tanzania matokeo yake watu wengi wanakuwa wanauliza kama hoja zake zina agenda or genuine concerns.

Kwa sasa Bashe ndio habari ya mjini; only time will tell.

By the way hawa ndio wanasiasa kama tunatafuta vigezo na ndio maana wazungu wanatushinda kwa maendeleo

Waziri mkuu nchi za wenzetu leo kajipendekeza kungea na raia wacha audience imkaange na kuitwa hypocrite kwa kubadilisha marafiki kisa maslahi ya siasa. Despite the attacks aachi kujibu sababu za msingi na wala kuogopa hoja. Sio wanasiasa wetu wakishindwa kitu wanataka kulaumu uongozi wa awali wewe umeshaingia madarakani njoo na mbinu zako.

Binafsi could not careless kama bunge liko live or not surely kama watu wakujiamini si unataka watu wakusikie na wakuamini kuwa wewe ndio messiah uliokuwa unasubiriwa ni watu waoga tu na wasiojiamini ndio ukimbia mapambano.
 
1. JK Kumpa A hujakosea Mzee Hana Hiyana wala Husuda yule I wish angekua Mjomba Wangu, sasa hv ningekua napumua Hewa ya China au Hong Kong Daaaadeki.

Ha ha ha...! Huyu hata angekaa USA kwa siasa zake akina Trump wangepata shida. Siasa zake huwa nafananisha na za obama sema yeye hakuzaliwa tu USA
 
Yule Mzee aliyesoma Falsafa kama mi mbona hujamweka au Yuko Outdated na siasa za Bongo kwa Sasa? Dr. Nani nani Weapon yule

Sijawahi vutiwa na siasa zake kabisa ya hawa
1:JPM-ana F
2:Lowasa-ana F
3:Dr. Slaa-ana F
4;Kubenea-ana F
yani hawa ni miswaki tu katika siasa zao
 
Mbowe umampendea nini ama ule mchongo. Wa 5b alikugawia

Kiukweli Mbowe ni Mtoto wa Mujini kisiasa yani anaweza hata kuwachezea akili wanasiasa wenzake na wasielewe.Ana "kauli siasa" yani zinazowasumbua wananchi anaweza akabadilisha watu kama anavyotaka mfano kubadili gia angani
 
Back
Top Bottom