Wanasiasa kama Tundu Lisu mnapotumia msamiati wa " Jalalani" mnakosa uzalendo kwa UDSM!

Lissu alinukuu maneno ya Profesa Kabudi alisema kuwa aliokotwa na Magufuli jalalani (UDSM!).

Afadhali hata hilo neno la jalalani kalinukuu, kuna maneno mengine akiyanukuu mtasema anatukana.
Hivi unajua wateule wa Magu wamekuwa wakikubali kutukanwa na kuitwa wapumbavu kila mara na aliyewateua.
 
Msiwa chonganishe UDSm na wanasiasa...
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani muasisi wa neno hilo humjui mpaka umrushie TAL lawama ??!! .

Sijakusikia ukimkosoa mgombea wako anayewasimanga watu na taa za barabarani !!. Kisa hawakumchagua yeye
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Uchaguzi mwepesi sana huu
Mgombea wa upinzani kila siku anatoa pasi kwa adui unategemea Nini?
 
Uzalendo wa jiwe anaujua Mwandishi Rweyemamu katika ule mchakato wa kugawana manyumba ya serikali.
 
Back
Top Bottom