Wanasheria wetu waungane waipeleke Serikali Mahakani kwa kukiuka Nuremberg Code

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,841
20,687
The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1
  1. The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of any element of force, fraud, deceit, duress, overreaching, or other ulterior form of constraint or coercion; and should have sufficient knowledge and comprehension of the elements of the subject matter involved as to enable him to make an understanding and enlightened decision. This latter element requires that before the acceptance of an affirmative decision by the experimental subject there should be made known to him the nature, duration, and purpose of the experiment; the method and means by which it is to be conducted; all inconveniences and hazards reasonably to be expected; and the effects upon his health or person which may possibly come from his participation in the experiment. The duty and responsibility for ascertaining the quality of the consent rests upon each individual who initiates, directs, or engages in the experiment. It is a personal duty and responsibility which may not be delegated to another with impunity.[13]
  2. The experiment should be such as to yield fruitful results for the good of society, unprocurable by other methods or means of study, and not random and unnecessary in nature.
  3. The experiment should be so designed and based on the results of animal experimentation and a knowledge of the natural history of the disease or other problem under study that the anticipated results will justify the performance of the experiment.
  4. The experiment should be so conducted as to avoid all unnecessary physical and mental suffering and injury.
  5. No experiment should be conducted where there is an a priorireason to believe that death or disabling injury will occur; except, perhaps, in those experiments where the experimental physicians also serve as subjects.
  6. The degree of risk to be taken should never exceed that determined by the humanitarian importance of the problem to be solved by the experiment.
  7. Proper preparations should be made and adequate facilities provided to protect the experimental subject against even remote possibilities of injury, disability, or death.
  8. The experiment should be conducted only by scientifically qualified persons. The highest degree of skill and care should be required through all stages of the experiment of those who conduct or engage in the experiment.
  9. During the course of the experiment the human subject should be at liberty to bring the experiment to an end if he has reached the physical or mental state where continuation of the experiment seems to him to be impossible.
  10. During the course of the experiment the scientist in charge must be prepared to terminate the experiment at any stage, if he has probable cause to believe, in the exercise of the good faith, superior skill and careful judgment required of him that a continuation of the experiment is likely to result in injury, disability, or death to the experimental subject.
Vipengele vyote hivi vimekiukwa,na kwa vile serikali iliridhia vipengele hivi,ipo haja ya Wanaaheria wetu kushirikiana kuipeleka serikali mahakani ili isitishe mpango huu wa chanjo kwa wananchi wake.Mbaya zaidi wananchi wanachanjwa na kitu ambacho hakipo,ni utapeli na naweza kusema ni scientific fraud and comedy at it's best.Watch this👇

COVID-19 Not Isolated, Cannot Be Located, Does Not EXIST! FOIA Response Reveals Worldwide HOAX​

VIDEO:COVID Not Isolated, Cannot Be Located, Does Not EXIST! FOIA Response Reveals Worldwide HOAX!
 
Ikikupendeza tuwekee Kiswahili ili sisi wahitimu wa darasa la saba pia tukuelewe.
Google translate hii hapa👇

Nambari ya Nuremberg inaonekana vifuatavyo: -
1.Idhini ya hiari ya somo la mwanadamu ni muhimu kabisa. Hii inamaanisha kuwa mtu anayehusika anapaswa kuwa na uwezo wa kisheria kutoa idhini; inapaswa kuwekwa kama kuweza kutumia nguvu ya kuchagua, bila kuingilia kati kwa nguvu yoyote, ulaghai, udanganyifu, kulazimisha, kupita kiasi, au aina nyingine ya kizuizi au kulazimisha; na inapaswa kuwa na maarifa ya kutosha na ufahamu wa vitu vya mada inayohusika ili kumwezesha kufanya uamuzi wa uelewa na mwanga. Sehemu hii ya mwisho inahitaji kwamba kabla ya kukubalika kwa uamuzi wa kukubali na somo la majaribio inapaswa kumjulisha asili, muda, na kusudi la jaribio; njia na njia ambayo inapaswa kufanywa; usumbufu na hatari zote zinazotarajiwa; na athari kwa afya yake au mtu ambayo inaweza kutoka kwa ushiriki wake katika jaribio. Wajibu na jukumu la kuhakikisha ubora wa idhini hutegemea kila mtu anayeanzisha, kuongoza, au kushiriki katika jaribio. Ni jukumu la kibinafsi na jukumu ambalo haliwezi kukabidhiwa mwingine bila adhabu. [13]

2.Jaribio linapaswa kuwa kama vile kutoa matokeo yenye faida kwa jamii, isiyoweza kutumiwa na njia zingine au njia za kusoma, na sio ya kubahatisha na isiyo ya lazima kwa maumbile.

3.Jaribio linapaswa kutengenezwa na kulingana na matokeo ya majaribio ya wanyama na ujuzi wa historia ya asili ya ugonjwa huo au shida nyingine chini ya utafiti kwamba matokeo yanayotarajiwa yatathibitisha utendaji wa jaribio.

4.Jaribio linapaswa kufanywa ili kuzuia mateso na majeraha yasiyofaa ya mwili na akili.

5.Hakuna majaribio yanayopaswa kufanywa ambapo kuna sababu ya kuamini kuwa kifo au ulemavu utatokea; isipokuwa, labda, katika majaribio hayo ambapo waganga wa majaribio pia hutumika kama masomo.

6.Kiwango cha hatari ya kuchukuliwa haipaswi kuzidi ile inayoamuliwa na umuhimu wa kibinadamu wa shida inayotatuliwa na jaribio.

7.Maandalizi sahihi yanapaswa kufanywa na vifaa vya kutosha kutolewa kulinda somo la majaribio dhidi ya uwezekano wa mbali wa kuumia, ulemavu, au kifo.

8.Jaribio linapaswa kufanywa tu na watu waliohitimu kisayansi. Kiwango cha juu cha ustadi na utunzaji inapaswa kuhitajika kupitia hatua zote za jaribio la wale wanaofanya au kushiriki katika jaribio.

9. Wakati wa jaribio somo la mwanadamu linapaswa kuwa na uhuru wa kumaliza jaribio ikiwa imefikia hali ya mwili au akili ambapo mwendelezo wa jaribio unaonekana kuwa hauwezekani.

10.Wakati wa jaribio mwanasayansi aliyehusika lazima awe tayari kumaliza jaribio katika hatua yoyote, ikiwa ana sababu ya kuamini, katika utekelezwaji wa imani nzuri, ustadi wa hali ya juu na uamuzi makini unaohitajika kwake kwamba mwendelezo wa jaribio linaweza kusababisha kuumia, ulemavu, au kifo kwa somo la majaribio.

Vipengele vyote hivi vimekiukwa, na kwa serikali mbaya iliridhia hivi hivi, ipo haja ya Wanaaheria yetu ambayo inaweza kutawala serikali mahakamani ambayo ni mpango wa huu wa chanjo kwa wananchi wake.
 
The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1
  1. The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of any element of force, fraud, deceit, duress, overreaching, or other ulterior form of constraint or coercion; and should have sufficient knowledge and comprehension of the elements of the subject matter involved as to enable him to make an understanding and enlightened decision. This latter element requires that before the acceptance of an affirmative decision by the experimental subject there should be made known to him the nature, duration, and purpose of the experiment; the method and means by which it is to be conducted; all inconveniences and hazards reasonably to be expected; and the effects upon his health or person which may possibly come from his participation in the experiment. The duty and responsibility for ascertaining the quality of the consent rests upon each individual who initiates, directs, or engages in the experiment. It is a personal duty and responsibility which may not be delegated to another with impunity.[13]
  2. The experiment should be such as to yield fruitful results for the good of society, unprocurable by other methods or means of study, and not random and unnecessary in nature.
  3. The experiment should be so designed and based on the results of animal experimentation and a knowledge of the natural history of the disease or other problem under study that the anticipated results will justify the performance of the experiment.
  4. The experiment should be so conducted as to avoid all unnecessary physical and mental suffering and injury.
  5. No experiment should be conducted where there is an a priorireason to believe that death or disabling injury will occur; except, perhaps, in those experiments where the experimental physicians also serve as subjects.
  6. The degree of risk to be taken should never exceed that determined by the humanitarian importance of the problem to be solved by the experiment.
  7. Proper preparations should be made and adequate facilities provided to protect the experimental subject against even remote possibilities of injury, disability, or death.
  8. The experiment should be conducted only by scientifically qualified persons. The highest degree of skill and care should be required through all stages of the experiment of those who conduct or engage in the experiment.
  9. During the course of the experiment the human subject should be at liberty to bring the experiment to an end if he has reached the physical or mental state where continuation of the experiment seems to him to be impossible.
  10. During the course of the experiment the scientist in charge must be prepared to terminate the experiment at any stage, if he has probable cause to believe, in the exercise of the good faith, superior skill and careful judgment required of him that a continuation of the experiment is likely to result in injury, disability, or death to the experimental subject.
Vipengele vyote hivi vimekiukwa,na kwa vile serikali iliridhia vipengele hivi,ipo haja ya Wanaaheria wetu kushirikiana kuipeleka serikali mahakani ili isitishe mpango huu wa chanjo kwa wananchi wake.

Wanaoishi kwenye ardhi ya huo mji wengi wameshanjwa.
 
Wanasheria wetu hawa akina Petro wanaopendekeza mtu aliyetoa mawazo ya kupinga chanjo ashughulikiwe 😀😀

Tutajiponya nafsi zetu.
Kama watoto wa shule wanavyoruka kutokea madirishani wakiogopa kuchanjwa ili kuokoa roho zao.
Na Mungu atapigana upande wetu,atawavua tu nguo,ni swala la muda.
 
Kwani mmelazimishwa, si hiari ?🤣
96a52e966b7a7f3c2eefe7a3994c4887.gif
 
Wanasheria wetu hawa akina Petro wanaopendekeza mtu aliyetoa mawazo ya kupinga chanjo ashughulikiwe 😀😀

Tutajiponya nafsi zetu.
Kama watoto wa shule wanavyoruka kutokea madirishani wakiogopa kuchanjwa ili kuokoa roho zao.
Na Mungu atapigana upande wetu,atawavua tu nguo,ni swala la muda.

Kwamba?

"Tutajiponya nafsi zetu.
Kama watoto wa shule wanavyoruka kutokea madirishani wakiogopa kuchanjwa ili kuokoa roho zao."

Hiyo ni nchi gani wanakochanja watoto wadogo?

Mengine haya wadanganyeni Chatto watawaelewa.
 
Duh... Ndugu, kumbuka hii ni world disaster...yapo mengi yaliwekwa kapuni kwa ajili ya immediate solution ya gonjwa hili... Rejea vifo vya Wuhan, Brazil, Italy, na sasa India...

Na athari zimekuwa catastrophic... Lockdowns zimeua biashara za utalii, biashara za mafuta, na biashara zingine mbalimbali zilikwama, nchi zimekosa kodi, nchi nyingi kwa kifupi zili-suffer..

Wanasayansi wanaujua huu ugonjwa. Huu ni SARS...! Severe Acute Respiratory Syndrome... Ila ulikuwa unakuja, unapotea, unarudi kwa namna nyingine, unapotea... No wonder wanasayansi hawakuchelewa kupata chanjo ya gonjwa hili. Walikuwa maabara miaka 10 hadi 15 nyuma SARS ilivyoanza. Na chanjo ni faida kwa viwanda vya dawa na nchi husika zenye viwanda hivyo.

Kwa hiyo ili dunia kuzuia "paralysis" iliyokuwepo ya kiuchumi, imeonekana watakapochanja wengi, basi "hospitalization" na vifo vitapungua. Na ndicho kilichopo. Kisha hata ukiingia kwenye website za CDC na nyingine za taarifa kuhusu Covid19, wanatoa takwimu za athari, zimetokea lini, na wapi, na aina gani ya wale walioathirika, jinsia na age group.

Hii tunayochanjwa hapa, haina taabu yoyote... Ilileta madhara kwa watu 16 kati ya milioni 8 walioipata. Na ikazuiwa kwa muda kisha ikaonekana, kwa lugha za kitabibu kwamba, "benefits outweigh the risks.." Na kitabibu, hiyo ratio ni ndogo...

Baadhi ya kampeni kupinga chanjo, haziangalii hilo, ndiyo shida. Hata sisi tuliosoma, tunapokea clip za kufowadiwa na hatuendi deep... Mitandao ipo, tusome. Kama kuna mtu huko Ulaya na Amerika ameandika makala yake, m-google, ujue ni mtu wa aina gani, sijui ni Paul Young au nani... Google...tafuta usahihi wa kitu ndipo ufanye maamuzi...
 
Back
Top Bottom