Wanasheria wamepoteza amaadili

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Hii fani imeingiliwa, wanasheria wa sasa hivi wamepoteza maadili kabisa ya kazi ni wote mawakili na mahakimu hakuna wenye afadhali wote baba mmjoa mama mmjoa.

Kwa mfano katika miji mikubwa mawakili ndio wamegeuka madalali wa kuuza viwanja, magari, mashamba na nyumba. Na ukija kwenye maswala ya mahakama wao kazi ni kupiga deal na mahakimu tu.

Mimi nawashauri nyie fanyeni kazi maswala ya hela yatakuja tu

Nawakilisha
 
hah..kweli nimewahi sikia wengi tuu wakisema huwezi shinda kesi bila honga hakimu.Ndio maana Tundu Lissu na timu yake CDM wamethibitisha mengi sana.
 
Back
Top Bottom