Wanasheria tusaidieni mikopo ya Lema na kiinua mgongo bungeni itakuaje

Wewe una wasiwasi gani? Makamanda wetu si walala hoi kama unavyofikiri. Think big acha kuwaza small issues. Lema is a hard working Man , ni mjasiriamali. Hakuingia bungeni kuganga njaa.

Mie sina wasiwasi nimeuliza ili kujua hatima ya pesa zetu Watanzania zitalipwa vipi?
 
Hayanuhusu vipi wakati naulizia kodi zetu.
Kodi zetu zihoji kwenye maeneo kama CCM Kirumba, Ally Hassan Mwinyi Tabora, Chimwaga na ofisi kuu zote za CCM zirudishwe kwa Umma maana zilijengwa kwa kodi za Umma na siyo pesa za CCM.
Kilaza wewe.
 
CV yangu itakusaidia nini mkuu ipo kama ya Kamanda Mbowe.

user-online.png
ritz

21st March 2012 11:08
#1
JF Premium Member Array


Join Date : 1st January 2011
Posts : 5,901
Rep Power : 6740
Likes Received1183
Likes Given78



[h=2]
icon1.png
Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao[/h]
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.​
 
Mie sina wasiwasi nimeuliza ili kujua hatima ya pesa zetu Watanzania zitalipwa vipi?

user-online.png
ritz

28th March 2012 15:20
#1
JF Premium Member Array


Join Date : 1st January 2011
Posts : 5,901
Rep Power : 6740
Likes Received1183
Likes Given78



[h=2]
icon1.png
Chadema wazidi kukata tamaa Arumeru Mashariki washindwa kukubalika[/h] Wanabodi,
Hii ndio wiki ya mwisho kwenye kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki hali ni ngumu kwa Chadema.

Timu ya kampeni ya CCM inayoongozwa na Mwigulu Nchemba, Steven Wassira, Christopher Ole Sendeka, Livingstone Lusinde chini ya Edward Lowassa.

Hawa jamaa wamefanikiwa kufunika kabisa siasa za Chadema kwenye kampeni huko Arumeru Mashariki.

Timu ya kampeni ya Chadema inayoongozwa na Vincent Nyerere, Godbless Lema, chini ya W. Slaa na Freeman Mbowe.

Kuchelewa kurudi kwa Mbowe katika dulu lala salama kumesababishwa kushindwa kwake kuwashawishi wazee wa kimila kumunga mkono Nassari.

Tatizo lingine la Chadema wanahubiri mambo kiujumlajumla, hawasemi watatatuaje kero ambazo CCM wameshindwa kuzitatua.

Tathmini iliyofanywa huko Arumeru Mashariki inaonyesha Lowassa na Slaa wana ushawishi mkubwa ndani ya jimbo hilo, Lakini Slaa anazidiwa kete kutokana na mila na desturi za jamii yake ya Karatu kuwa na tofauti kubwa na za jamii ya Wamasai na Wameru.

Sasa hivi Chadema wamebaki kulalamika wanatukanwa wakati wamesahau kuwa kina Lema, ndio walianza siasa chafu za kumchafua Sioi Sumari.
 
Sheria za bunge zinasemaje kuhusu shangingi la Lema pamoja na mkopo wake aliokopa bungeni.
 
Wanabodi,
Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha kumvua ubunge Godbless Lema jimbo la Arusha Mjini.

Tunaomba wanasheria wetu watufahamishe hatima ya Lema kwenye mikopo yake wakati alipokuwa mbunge itakuaje.

Lema alikopa Sh90 milioni kwa ununuzi wa gari, pia alikopa Sh50 milioni kama mkopo binafsi...hizi pesa zitalipwa vipi wakati hayupo tena bungeni.

Na bunge litampa kiinua mgongo cha Sh43 milioni kama wanavyopewa wabunge wengine wakimaliza vipindi vyao vya miaka mitano bungeni.

Na wewe ulikuwa unamdai?kama sivyo pilipili ya shamba we inakuwashia nini!
 
Mikopo kama hiyo hukatiwa Insurance, hivyo Mhe. Lema hana deni lolote iwapo alikopa kupitia Bunge; Bunge linawajibika kwa hilo.
 
swali mwenzake jibu RITZ anastahiki kujibiwa anataka kujua kama hamna majibu pigeni kimya
 
swali mwenzake jibu RITZ anastahiki kujibiwa anataka kujua kama hamna majibu pigeni kimya

Mkuu Sverige,
Nimeuliza swali la msingi lakini kila anayekuja hana jibu zaidi ya maneno matupu.
 
Mkuu kweli ni kosa kwa mimi mwana CDM kuulizia mapato na matumizi kwa chama changu? mbona mlituchangisha vizuri! ni muhimu tukajua michango yetu tuliotoa ARUMERU imetumika vipi.
Maralia Sugu, tangu lini umejiunga na CHADEMA? wacha wazimu wako wewe!
 
Shangingi milioni 90 mkopo binafsi milioni 50 jumla milioni 140...serikali itazipataje hizi pesa za walipa kodi?
Kwa taarifayako tu kama uchaguzi ukifanyika tena anaruhusiwa kuchukua mkopo kama awali......
 
Sheria za bunge zinasemaje kuhusu shangingi la Lema pamoja na mkopo wake aliokopa bungeni.
Ziko wazi kama mchana, wazazi wako wakiacha kupokea rushwa za CCM na wewe ukiacha kufikiri kwa makalio, walah umaskini utapungua na wabunge wetu wataacha kwenda Arumeru kuporomosha mitusi!
 
Back
Top Bottom