wanasheria noma

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
professor aliwaita engineer,scientist na mwanasheria na akwaanza kuwauliza maswali
Professor: mbili jumlisha mbili ni ngapi???
Engineer: Jibu ni nne
Scientist: Jibu ni 3.999
Mwanasheri:professor wewe unataka jibu liwe ngapi????
 
Jipange! Unatumalizia bando zetu kufungua uzi wa ki...j******.
 
Mi nimeelewa.ina maana mwnasheri huwa hana jibu maalum huwa anatoa jibu kulingana na mteja au mhusika atakavyo taka.ndio maana wakili anamtete mtuhumiwa hata kama anakosa.anatetewa kwa refference tofauti mpaka anashinda kesi.nawakilisha.
 
Kila mtu atatoa jibu lake due to slight discrepancy in reasoning between one person and another.
 
Back
Top Bottom