Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,299
73,839
1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted?
2. Sheria inasemaje kuhusu hilo?
3. Cause of action yangu ni ipi nikienda mahakamani,.
 
Unsurveyed land!?.Unamiliki ardhi ambayo hujui inetengwa kwa matumizi gani!?.
 
1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted?
2. Sheria inasemaje kuhusu hilo?
3. Case of action yangu ni ipi nikienda mahakamani,.
Unaposema unserveyed land unamaana gani maana eneo lote la mji lipo kwenye mipango miji sasa unaweza kufanya mipango hewani?
 
Uwe surveyed or unsurveyed sheria inataka ulipwe ikiwa eneolako litachukuliwa kwa masilahi ya umma. Chamsingi uwe na visithibitisho vya umiliki.
 
1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted?
2. Sheria inasemaje kuhusu hilo?
3. Case of action yangu ni ipi nikienda mahakamani,.
Kitu cha kwanza, unatakiwa utambue kuwa ardhi inamilikiwa na Rais. Rais hawezi kufanya kila kitu na ndiyo maana ame-deligate hayo majukumu kwa watu wengine ambao watatekeleza majukumu yote yanayohusu ardhi kwa niaba yake ambaye ndiye mmiliki wa ardhi.

Pili, kwa sababu wako pale kwa niaba ya Rais maana yake automatically wana mamlaka ya kufanya hayo uliyoyasema. Ingawa ilibidi ushirikishwe kwa kupewa notisi au taarifa juu ya hilo jambo.

Kama kweli hawakufanya yaani haukupewa taarifa andika barua kwa kamishina wa ardhi kuhusu hilo tukio. Asipokujibu nenda mahakamani ukatafute haki yako.

Cause of action: Uvamizi wa Ardhi.
 
asante. Any case law to support my query?
 
Mkuu seriously unahitaji case law ya ku-support madai yako kule mahakamani au?

My brother the law is very clear to that effect so no need of case laws. It should be noted that whoever trespasses to someone's land must be sued. The only redress you have is to take legal action(File a suit against them).
 
Kitu cha kwanza, unatakiwa utambue kuwa ardhi inamilikiwa na Rais. Rais hawezi kufanya kila kitu na ndiyo maana ame-deligate hayo majukumu kwa watu wengine ambao watatekeleza majukumu yote yanayohusu ardhi kwa niaba yake ambaye ndiye mmiliki wa ardhi.

Pili, kwa sababu wako pale kwa niaba ya Rais maana yake automatically wana mamlaka ya kufanya hayo uliyoyasema. Ingawa ilibidi ushirikishwe kwa kupewa notisi au taarifa juu ya hilo jambo.

Kama kweli hawakufanya yaani haukupewa taarifa andika barua kwa kamishina wa ardhi kuhusu hilo tukio. Asipokujibu nenda mahakamani ukatafute haki yako.

Cause of action: Uvamizi wa Ardhi.
Sahihisho kidogo, hakuna Sheria inayosema Raisi anamiliki ardhi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom