Wanasheria ndio wanarudisha Hii nchi Nyuma!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,517
9,155
Naamini kabisa hii Nchi yetu imedumaa kimaendeleo kwa sababu ya wanasheria au Watu waliosomea Sheria!
Wao ndio wajuaji wa kila kitu, kwanza wengi wao hata walichokisoma hawakielewi zaidi tu ya kukuriri misamiati ya masomo yao! Hii nchi tukitaka twende mbele ni lazima tuwafungie vilaza Wanasheria kwenye safu ya uongozi na tuwape watu wa critical thinking kama Wanahisabati, Wahandisi, na Wanasayansi!
 
Back
Top Bottom