LITA2019
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 487
- 1,025
Mwaka 2015 kuna mzee aliniambia anauza viwanja 1.5m, alikua na eneo kubwa akasema anafuatilia taratibu za kukamilisha upimaji hivyo wanaotaka walipie kabisa ili majina yakitoka yatoke kwa majina yetu.
Kwa vile alieletwa na rafiki yangu ninaemjua nami nikaenda kuangalia eneo, nikaridhika tukaenda kwa mwanasheria kuandikishiaba mkataba na kusubiri majina yatoke, ikiwa mimi, yule rafiki yangu na wengine kama 6 hivi ambao sijathibisha uwepo wao kila mmoja alilipia kiwanja kimoja kwa 1.5m.
Tangu 2015 mpaka leo nlichopata ni huu mkataba tu wa mwanasheria bali hakuna kitu kiitwacho kiwanja. Nimewasilina nao kadri ya uwezo wangu mpaka leo hakuna dalili yeyote ile, tangu walikua wananipa tarehe mpaka sasa 2021 hawapokei cm/kujibu ujumbe nami nishahamia mkoa mwingne kimajukumu! Je naweza kwenda polisi/mahakamani na ushaihidi wa mkataba huu kudai haki yangu?
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile appPole Sana unaweza kwenda polisi ukaifanya kuwa criminal case ingawa mara nyingi hatushauri wateja wetu wafungue hivyo lakini unaweza fungua civil case au madai ambayo itakuwa issue ya Breach of contract then uta claim damage utalipwa