Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Wanasheria naomba ushauri wenu au maoni yenu kuhusu ajali ya gari.
Kuna rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu hatua za kufuata kufuatia ajali iliyosababisha mauti ya ndugu yao.
Kwa maelezo ya huyo ndugu, ajali ilitokea huko Dodom, basi iligonga krikuu(Suzuki Carry) kutokea nyuma iliyokua na watu kadhaa.
Mmoja akafariki na wengine kadhaa wako majeruhi.
Je sheria inasemaje kuhusu gari au deveva aliesababisha ajali.
Je sheria inasemaje kuhu majeruhi na fidia yao?
Je sheria inasemaje kuhusu marehemu.
Je ni nani anawajibika na kesi hizi, majeruhu na ndugu wa marehemu au ni kesi ya jamhuri?
Ahsante.