Wanasheria naomba msaada wenu kuhusu ajali ya gari iliyosababisha mauti.

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,461
2,000
Wanasheria naomba ushauri wenu au maoni yenu kuhusu ajali ya gari.

Kuna rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu hatua za kufuata kufuatia ajali iliyosababisha mauti ya ndugu yao.

Kwa maelezo ya huyo ndugu, ajali ilitokea huko Dodom, basi iligonga krikuu(Suzuki Carry) kutokea nyuma iliyokua na watu kadhaa.

Mmoja akafariki na wengine kadhaa wako majeruhi.

Je sheria inasemaje kuhusu gari au deveva aliesababisha ajali.

Je sheria inasemaje kuhu majeruhi na fidia yao?

Je sheria inasemaje kuhusu marehemu.

Je ni nani anawajibika na kesi hizi, majeruhu na ndugu wa marehemu au ni kesi ya jamhuri?

Ahsante.
 
shin gun wook

JF-Expert Member
Sep 26, 2017
968
1,000
upande wa Dereva bora ugonge uue kuliko hao majeruhi.gharama ndefu mno watawalipa.apo ndo utaona umuhimu wa kukata comprehensive insurance
 
Sheria kwa Kiswahili

Senior Member
Mar 30, 2018
116
225
Wanasheria naomba ushauri wenu au maoni yenu kuhusu ajali ya gari.

Kuna rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu hatua za kufuata kufuatia ajali iliyosababisha mauti ya ndugu yao.

Kwa maelezo ya huyo ndugu, ajali ilitokea huko Dodom, basi iligonga krikuu(Suzuki Carry) kutokea nyuma iliyokua na watu kadhaa.

Mmoja akafariki na wengine kadhaa wako majeruhi.

Je sheria inasemaje kuhusu gari au deveva aliesababisha ajali.

Je sheria inasemaje kuhu majeruhi na fidia yao?

Je sheria inasemaje kuhusu marehemu.

Je ni nani anawajibika na kesi hizi, majeruhu na ndugu wa marehemu au ni kesi ya jamhuri?

Ahsante.
fafanua zaidi ndio utapewa majibu mazuri, hizo either of the two vehicles zilikatiwa bima, na bima za aina gani. utajibiwa kuhusiana na recovery ya gari yako, majeruhi, na marehemu (kwa wafiwa). kesi ni ya jamhuri lakini ukijibu maswali hayo utaelekezwa namna ya kupata haki yako nje ya jinai (ambayo najua lazima itakuwa dangerous driving na mtu ataenda ndani hapo).
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,748
2,000
Hapo lazima ujadili bima za magari hapo ili ujue premium yao yaani uzito wa bima.
Sheria za barabara huyo wa kirikuu analipwa na bima ikiwa bima yake ina nguvu lakini suala la kifo cha ndugu itategemeana hiyo gari ilikuwa ya biashara na je bima ilihusu abiria?.
 
Kyalow

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,360
2,000
fafanua zaidi ndio utapewa majibu mazuri, hizo either of the two vehicles zilikatiwa bima, na bima za aina gani. utajibiwa kuhusiana na recovery ya gari yako, majeruhi, na marehemu (kwa wafiwa). kesi ni ya jamhuri lakini ukijibu maswali hayo utaelekezwa namna ya kupata haki yako nje ya jinai (ambayo najua lazima itakuwa dangerous driving na mtu ataenda ndani hapo).
Huwa ni ndani au fidia pamoja na kufungiwa leseni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom