mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana Bodi,
Ni muda sasa malumbano hafiki mwisho, hatutaki kujua nani zaidi bali tuoondoe uonevu unaoweza kuufanya mhimili mwingine kuonekana huko juu ya sheria. Speaker Ndugai inatumia nguvu nyingi kuionyesha dunia kuwa kiti chake kipo juu ya sheria kwa kulazimisha mambo ya kikatiba kuingiliwa mbali na vifungu vinavyolinda kiti cha CAG lakini bado anamuhususha hata Rais aingie katika mgogoro huu ambao ni kati ya utaalam na uanasiasa. Mimi naona wengi wamekaa kimya, wako wapi watetezi wa haki. Tunajua kuwa hawa viongozi wote ni wa chama tawala, lakini kumekuwepo na vijigazeti vya kufungia maandazi vinafunguliwa kila leo kudidimiza juhudi za wanaotaka kututoa kwenye udhaifu wa mdororo wa uchumi. Hawa wakina Musiba sijui walikula nini kila siku ni kutunga uongo kuandama mtu mmoja kama vile wametumwa.
Ikiwa Prof. Assad atajihudhuru kwa kulazimishiwa neno dhaifu lionekane kama tusi , basi, tutakosa mengi, kwani wajo watakuwa waoga kuonyesha ukweli kwa sehemu pesa zilizokwapuliwa. tena Prof. ikiwa hatajiudhuru basi hatakuwa amepunguziwa ulinzi na wale mafisadi aliowataja kwenye report wanaweza kumdhuru. Hasa hawa poliz.