Wanasheria Mtanisaidiaje nifungue Kesi ya Kikatiba kutafsiri neno dhaifu ili tuinusuru hii mihimili

mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,351
Points
2,000
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,351 2,000
Wana Bodi,

Ni muda sasa malumbano hafiki mwisho, hatutaki kujua nani zaidi bali tuoondoe uonevu unaoweza kuufanya mhimili mwingine kuonekana huko juu ya sheria. Speaker Ndugai inatumia nguvu nyingi kuionyesha dunia kuwa kiti chake kipo juu ya sheria kwa kulazimisha mambo ya kikatiba kuingiliwa mbali na vifungu vinavyolinda kiti cha CAG lakini bado anamuhususha hata Rais aingie katika mgogoro huu ambao ni kati ya utaalam na uanasiasa. Mimi naona wengi wamekaa kimya, wako wapi watetezi wa haki. Tunajua kuwa hawa viongozi wote ni wa chama tawala, lakini kumekuwepo na vijigazeti vya kufungia maandazi vinafunguliwa kila leo kudidimiza juhudi za wanaotaka kututoa kwenye udhaifu wa mdororo wa uchumi. Hawa wakina Musiba sijui walikula nini kila siku ni kutunga uongo kuandama mtu mmoja kama vile wametumwa.

Ikiwa Prof. Assad atajihudhuru kwa kulazimishiwa neno dhaifu lionekane kama tusi , basi, tutakosa mengi, kwani wajo watakuwa waoga kuonyesha ukweli kwa sehemu pesa zilizokwapuliwa. tena Prof. ikiwa hatajiudhuru basi hatakuwa amepunguziwa ulinzi na wale mafisadi aliowataja kwenye report wanaweza kumdhuru. Hasa hawa poliz.
 
desmond3076

desmond3076

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
156
Points
225
desmond3076

desmond3076

Senior Member
Joined Jul 29, 2015
156 225
bunge ndo dhaifu KTK kuiwajibisha serikali, KILA KITU UTASKIA NDIYOOOOOOOOOO
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,589
Points
2,000
Age
29
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,589 2,000
Hapo umehukumu upande huwezi kutafuta maana halisi ya neno

DHAIFU
 
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,351
Points
2,000
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,351 2,000
Hapo umehukumu upande huwezi kutafuta maana halisi ya neno

DHAIFU
Sijahukumu bali nami ninaomba maelezo ya Asad Prof. aliyoyatoa kwenye kamati tuone walivyafikiana, Bunge linaweza kumwonea kwa sababu ndilo linajifanya TUKI kwa ufafanusi wao mpaka wanfikia hali hii.
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,006
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,006 2,000
Unatafuta tafsiri ya neno ukiwa tayari na upande wako,na matarajio yako yawe uwazavyo na si kutafuta suluhu ukiwa huru
Wana Bodi,

Ni muda sasa malumbano hafiki mwisho, hatutaki kujua nani zaidi bali tuoondoe uonevu unaoweza kuufanya mhimili mwingine kuonekana huko juu ya sheria. Speaker Ndugai inatumia nguvu nyingi kuionyesha dunia kuwa kiti chake kipo juu ya sheria kwa kulazimisha mambo ya kikatiba kuingiliwa mbali na vifungu vinavyolinda kiti cha CAG lakini bado anamuhususha hata Rais aingie katika mgogoro huu ambao ni kati ya utaalam na uanasiasa. Mimi naona wengi wamekaa kimya, wako wapi watetezi wa haki. Tunajua kuwa hawa viongozi wote ni wa chama tawala, lakini kumekuwepo na vijigazeti vya kufungia maandazi vinafunguliwa kila leo kudidimiza juhudi za wanaotaka kututoa kwenye udhaifu wa mdororo wa uchumi. Hawa wakina Musiba sijui walikula nini kila siku ni kutunga uongo kuandama mtu mmoja kama vile wametumwa.

Ikiwa Prof. Assad atajihudhuru kwa kulazimishiwa neno dhaifu lionekane kama tusi , basi, tutakosa mengi, kwani wajo watakuwa waoga kuonyesha ukweli kwa sehemu pesa zilizokwapuliwa. tena Prof. ikiwa hatajiudhuru basi hatakuwa amepunguziwa ulinzi na wale mafisadi aliowataja kwenye report wanaweza kumdhuru. Hasa hawa poliz.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,006
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,006 2,000
Ukiambiwa elewa,uandishi wako tayari umehukumu,msaada wa tafsiri hautafutwi kwa mtindo wako
Sijahukumu bali nami ninaomba maelezo ya Asad Prof. aliyoyatoa kwenye kamati tuone walivyafikiana, Bunge linaweza kumwonea kwa sababu ndilo linajifanya TUKI kwa ufafanusi wao mpaka wanfikia hali hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
11,589
Points
2,000
Age
29
Mndali ndanyelakakomu

Mndali ndanyelakakomu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
11,589 2,000
Sijahukumu bali nami ninaomba maelezo ya Asad Prof. aliyoyatoa kwenye kamati tuone walivyafikiana, Bunge linaweza kumwonea kwa sababu ndilo linajifanya TUKI kwa ufafanusi wao mpaka wanfikia hali hii.
Hili neno kwa matazamo wa kawaida akiitwa mtu lazima achukie

Ila huyu Assad amesema kwa tafsiri ya kihasibu ni neno la kawaida

Sasa sijui kama mahakama itakuwa tayari kwenda kusoma vitabu vya kihasibu ili ije na tafsiri sahihi
 
Forum statistics

Threads 1,285,935
Members 494,834
Posts 30,879,477
Top