Wanasheria mahiri wamesoma Open University lakini Mawakili nguli wametokea University of Dar es salaam!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,742
141,604
Tunakumbushana tu watu walioamua kusoma sheria pale OUT kama taaluma ya ziada ndio wamekuwa wanasheria mahiri sana nchini

Na wale waliokaza mishipa na HGL/ HGK zao pale The hill ndio mawakili wanaotamba zaidi hapa mjini

Sijaelewa kwanini inakuwa hivi!
 
Ni dhahiri kuwa kwa mwenendo wa kesi pale law school, mtakuwa mmevurugwa si bure 😁😁
 
Tunakumbushana tu watu walioamua kusoma sheria pale OUT kama taaluma ya ziada ndio wamekuwa wanasheria mahiri sana nchini

Na wale waliokaza mishipa na HGL/ HGK zao pale The hill ndio mawakili wanaotamba zaidi hapa mjini

Sijaelewa kwanini inakuwa hivi!
Wasomi mahiri na nguli wa sheria ni wale wa miaka ya 1965-1980 BASI the rest are just artists and technicality opportunists...
 
Back
Top Bottom