cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Habari wasomi,naomba kuelewa ni kwanini baadhi ya taasisi nyeti za serikali zinatumia wanasheria ambao hawajaenda shule ya sheria?je,hii ni sawa?
sasa wewe umeshasema kuwa ni wansheria kwa maana wamehitimu kwa hilo ndio maana wakaajiriwa. huwezi kusajiliwa kwenye bodi yao kama hujapractice. sasa si lazima uajiriwe au upate mafunzo kwa vitendo ndio usajiliwe. hiyo skuli wanakufundisha tena sheria?Kila kinacholetwa hapa huwa unatajiwa majina fuatilia mwenyewe
Kama wewe ni mwanasheria naimani utaelewa lakini kama siyo huwezi kuelewa, kumaliza shahada ya sheria,masters,phd,n.k haitoshi kuendesha mashitaka pasipo kupitia shule ya sheriasasa wewe umeshasema kuwa ni wansheria kwa maana wamehitimu kwa hilo ndio maana wakaajiriwa. huwezi kusajiliwa kwenye bodi yao kama hujapractice. sasa si lazima uajiriwe au upate mafunzo kwa vitendo ndio usajiliwe. hiyo skuli wanakufundisha tena sheria?
N ukiwa na Masters au phd bado unaenda hiyo skuli