Wanasema tunataka tume huru ya Uchaguzi! Je walishindaje ubunge wao? Serikali isipoteze pesa kwa mambo ambayo hayamletei faida Mwananchi wa kawaida

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Ukiwasikia Viongozi wa Upinzani walivyoingiwa na mchecheto kutukana na kupoteza mvuto kwa Wananchi utawahurumia kwa kweli.

Utawasikia tunataka tume huru ya Uchaguzi. Umawakaba swali mbona nyie ni wabunge nani aliwatangaza mlipochaguliwa? Wanakimbia hawajibu maada hahaha

Unawauliza mbona mlishinda majimbo majimbo kumi ya Uchaguzi na viti maalumu mkapata nani aliwatangaza?

Wanakimbia hawajibu maada ! What a shame

Tume ya Uchaguzi ipo huru kabisa, hatuhitaji tume nyingine itakayoharibu Nchi yetu.

Wapinzani wa sasa wanaugua hofu, wanajua Watanzania wamewachoka.

Wanachofanya ni kujificha kwenye tume huru ya Uchaguzi ili wakipigwa tatu bila wapate wa kumsingizia

Ujanja wao umefika mwisho, tuwakatae hawa makanjanja wa kisiasa

Naiomba serkali tukufu ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania isisikilize kelele wa Upinzani tena mitandaoni,

Hawa wapo kwenye hatua ya mwisho kufa, waacheni wafe wala msijisumbue nao.

Watanzania bado tunahitaji umeme wa uhakika, barabara zinazounganisha wilaya na wilaya, elimu bora na huduma za afya.

Msije mkachezea pesa eti kutengeneza tume huru? Tume ya Uchaguzi Tanzania ni huru kabisa.

Tanzania tume ya Uchaguzi ni Uhuru Kabisa kwa mujibu wa katiba.

Wale waliokuwa wanategemea tume huru iwasaidie kwenye aibu ya kushindwa wameula wa chuya, mjiandae kwa tatu bila.

Naipenda Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaumiza kichwa kuhusu Corona kwamba Mbinu zipi zifanyike ili kuondokana na janga hili, halafu mtu Tu kutoka asikojulikana anauliza tume huru, yanini? Bado kunamtu anaona kunafursa ya Dunia kuendelea kuwepo Wakati tiba yenyewe bado?

Mnataka tume ya nani na nani? Tumeinayopaswa Leo ni mtu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, akimbilie haraka Kwa Mungu kusalimisha maisha yake ya badaye
 
Hao ni Chadema Mkuu hawajali kabisa Wananchi wao ? Wenyewe wanaangalia usalama wa matumbo yao tu
Watu wanaumiza kichwa kuhusu Corona kwamba Mbinu zipi zifanyike ili kuondokana na janga hili, halafu mtu Tu kutoka asikojulikana anauliza tume huru, yanini? Bado kunamtu anaona kunafursa ya Dunia kuendelea kuwepo Wakati tiba yenyewe bado?

Mnataka tume ya Nani na Nani? Tumeinayopaswa Leo ni mtu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu, akimbilie haraka Kwa Mungu kusalimisha maisha yake ya badaye

Korona imekuja juzi na itaondoka. Madai ya tume huru yako palepale hamna pa kujificha.
 
Back
Top Bottom