Wanasema nguzo za umeme zinatoka s.a wakati zinatoka mbulu nimradi wa ridhiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasema nguzo za umeme zinatoka s.a wakati zinatoka mbulu nimradi wa ridhiwani

Discussion in 'International Forum' started by ketwas, Jan 20, 2011.

 1. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli inasikitisha sana kuona tunavyodhulumiwa mali zetu,juzi zilikuja lori kubwa mbili,zikaenda yaeda chini wilaya ya Mbulu mkoani manyara kuchukua nguzo za umeme,matokeo yake wamezileta wakaziacha kwanza hapa mjini ili zikauke ili ziletwe huko dar,jamani hii nchi inatupeleka wapi?hata mali zetu tunauziwa,eti wamezipaka dawa na kuweka lebo kuwa zimetoka south afrika,najua watakuja na nitazipiga picha ili muzione hadi namba za gari nitaziweka,pia wananchi wanamsubiri mbunge wao ili wamweleze

  NAWASILISHA
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  taarifa nzuri,pokea thanks
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  nani amesema watasema zinatoka S.A? elezea kuwa kuna nguzo toka mbulu....hayo mengine umepika zaidi kuliko uhalisia.......kwa TANZANIA DAIMA hii ni habari ...kwa magazeti makini hii bado haijajitosheleza....CHUNGUZA KIUNDANI NDIPO UJE NA KITU CONCRETE..... kuanza kutaja majina hakusaidii... ni sawa na kusema...kiongozi wa chadema anamiliki jumba ambalo ukahaba ni halali maeneo hayo...YAANI bilz
   
Loading...