Wanasema natembea naye!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani. Hebu sema, ungefanyaje?

chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani. Hebu sema, ungefanyaje?

nitatembea nae ili maneno yao yaishi.

Hawawezi kusema hivyo bila sababu. Ni lazima utakuwa jirani na huyo mke/ mume wa mtu, ama mnaonekana maeneo yenye kutia shaka.
Badili tabia jiweke mbali nae

Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani. Hebu sema, ungefanyaje?

just prove them wrong

watakuwa wamewaona mnatembea pamoja ndio maana wakasema...hakuna tatizo hapo.

Kwani kutembea naye kuna shida gani? Mbona huwa naona watu wengi wanaongozana na wake za watu?

Rejao hebu tuliza kichwa chako bana.................. nimetumia tafsida hapo

Hawawezi kusema hivyo bila sababu. Ni lazima utakuwa jirani na huyo mke/ mume wa mtu, ama mnaonekana maeneo yenye kutia shaka.
Badili tabia jiweke mbali nae

Bujibuji, hivi kuwa karibu na mke au mume wa mtu ndiyo ina-justify kuwa mnafanya tendo? vipi wale wanaokuwa na u-partner wa kibiashara na wake au waume za watu, tuwachukulie kwamba hawaishii hapo, bali hata tendo la ndoa ni sehemu ya u-partner wao?

We na wewe umeelewa vibaya............ hukui tu!

Nimeelewa vibaya? au mie nimetoa moja ya maana nyingi za ujumbe wako.
Wewe ndio umeshindwa fikisha ujumbe uliokusudia so usinilaumu mkuu.
kwa kifupi tungo yako ni tata?
onesha kama umekua basi.

Bujibuji, hivi kuwa karibu na mke au mume wa mtu ndiyo ina-justify kuwa mnafanya tendo? vipi wale wanaokuwa na u-partner wa kibiashara na wake au waume za watu, tuwachukulie kwamba hawaishii hapo, bali hata tendo la ndoa ni sehemu ya u-partner wao?

hawa itaeleweka wako ktk biashara yaan kuna jambo muhimu linawafanya wawe karibu na jamii itaelewa hvyo kwan wanachokifanya kinaonekana ni biashara. Lakin unakuwa benet na mke/mme wa mtu halafu hakuna k2 kinachoonekana mbele ya jamii kinachowafanya muwe karbu unafikir jamii itaelewa nin zaid ya kufikir labda mna ushirikiano wa vikojolea?lazima wahis mnamegana na c vngnevyo.

Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani. Hebu sema, ungefanyaje?

Nawaignore! Kwani opinion is an asshole every one has one!

kwann wasiwazushie watu wengine wakakuzushia ww u shuld ask ur self first kuna mazingira chochezi ya tuhuma hizo jitahidi kuya avoid mpendwa

Bila ya shaka utakuwa umeandaa mazingira yanayowapa watu waamini hivyo. Kwa nini wakufikirie wewe tu?
Utakuwa upo karibu naye sana visivyo vya kawaida. Kama hutaki hayo maneno, ondoa mazingira hayo. Usikutane naye kwa siri, na hata dhahiri, mazungumzo yenu yawe yale ya lazima tu. Usiingize jokes za aina yoyote, kuwa mbali naye si chini ya mita 3 na mambo kama hayo.
Ole wako iwapo hizo dhana za watu zije kuhamia kwa mume. Jitayarishie sanda.

Nimeelewa vibaya? au mie nimetoa moja ya maana nyingi za ujumbe wako.
Wewe ndio umeshindwa fikisha ujumbe uliokusudia so usinilaumu mkuu.
kwa kifupi tungo yako ni tata?
onesha kama umekua basi.

Naomba unisaidie mkuu, hivi nilitakiwa nisemeje vile?

una ignore maana ukweli unaujua wewe binadamu wameumbwa kuongea mwisho wa siku wataacha wenyewe

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom