N nguvu JF-Expert Member Jun 13, 2013 21,016 19,807 Aug 17, 2021 #3 lolypop said: Chadema usaliti utawamaliza Click to expand... Sidhani kama ni usaliti hata kwa Mungu kuna kutubu na kuanza maisha mapya
lolypop said: Chadema usaliti utawamaliza Click to expand... Sidhani kama ni usaliti hata kwa Mungu kuna kutubu na kuanza maisha mapya
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,026 41,405 Aug 18, 2021 #4 Chadema bhana 😂😂😂 nikikumbuka walikuwa wanawaambia watu wakatae vitu toka serikalini hua nakosa nguvu 😂😂😂
Chadema bhana 😂😂😂 nikikumbuka walikuwa wanawaambia watu wakatae vitu toka serikalini hua nakosa nguvu 😂😂😂
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,703 37,316 Aug 18, 2021 #5 Ezekiel Mbaga said: Chadema bhana nikikumbuka walikuwa wanawaambia watu wakatae vitu toka serikalini hua nakosa nguvu Click to expand... tatizo kuna wakati wanajichanganya na kudhania,hitaji lao ni hitaji la kila mtu.
Ezekiel Mbaga said: Chadema bhana nikikumbuka walikuwa wanawaambia watu wakatae vitu toka serikalini hua nakosa nguvu Click to expand... tatizo kuna wakati wanajichanganya na kudhania,hitaji lao ni hitaji la kila mtu.