Wanasayansi wagundua masalia ya binadamu mwingine wa kale huko Ethiopia

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
737
Wanasayansi wamegundua tena masalia ya binadamu mwingine wa kale huko nchini Ethiopia.

Binadamu huyo wa kale waliompa jina la Lucy inasemekana alikuwa anafanana zaidi na sokwe kuliko binadamu na pia alikuwa na mikono yenye misuli kama sokwe, na alikuwa na urefu wa futi moja na inch moja.

Ingawa lucy alikuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu wa leo hii wanasayansi wanadai lucy alikuwa akiishi zaidi juu ya miti kuliko ardhini na inasemekana kuwa binadamu huyu wa kale aliishi takribani miaka million 3.2 iliyopita huko nchini Ethiopia katika bara la Africa.

http://nytimes.com/2016/08/30/science/lucy-hominid-fossils-fall.html
 
Na alikuwa anakula maboga na maembe kwa wingi,
alikuwa ni mvivu kiasi, na alikuwa anapenda kupiga miayo mara kwa mara,,,
Pumbavuuu kabisa.
 
Back
Top Bottom