Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

Mdogo mdogo wanataka kutuhasi sio, wamewakorokocha wanawake zetu wameona haitoshi, wamerudi kwetu, pumbavu zao!!
Sasa Mimi Nina watoto 6 bado natafuta nini? Walete tumalizane na wadangaji wanaotusingiIa mimba Kila uchao. Kabla hujagonga unamwambia kabisa nimekula Pills.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli tatzo la watoto wa mitaan na uzazi usio na mpango wa kuudhibiti ni mwanaume! Ndiye mwenye turufu kubwa. Sema bas hatutak kuwajibika.
Pia hatuko tayar kurisk nguvu zetu za kiume kwa hiz njia za kisayansi tusizoaminiana. Kama ambavyo hatuziamin pia dhidi ya wanawake.
 
Zaeni muijaze dunia, bado eneo kubwa sana duniani halina watu, kifupi tumepwaya...tujaze jaze dunia na tukigundua makazi huko Mars ndio kabisa dunia inaweza kuwa tupu...

WaAfrica tuache ubishoo, pigeni mashine leteni watoto duniani...tumepewa dunia yetu zawadi na maanani...
 
Dah! Hii dunia ni ishu. Wameona tumegomea chanjo ya covid saa hivi wamekuja na contraceptive ya mwanaume? Wameze wao wenyewe faken! Kama shida ni kuogopa mimba, navaa ndomu mbili na bado namwagia nje.!
 
Kusema ukweli tatzo la watoto wa mitaan na uzazi usio na mpango wa kuudhibiti ni mwanaume! Ndiye mwenye turufu kubwa. Sema bas hatutak kuwajibika.
Pia hatuko tayar kurisk nguvu zetu za kiume kwa hiz njia za kisayansi tusizoaminiana. Kama ambavyo hatuziamin pia dhidi ya wanawake.

la msingi nikutilia mkazo watu kubeba majukumu na kulea watoto wao, iwe Baba au Mama...tunatakiwa kuzaa..
 
la msingi nikutilia mkazo watu kubeba majukumu na kulea watoto wao, iwe Baba au Mama...tunatakiwa kuzaa..
Kuzaa sawa ili kuendeleza jamii. Pia kupata nguvu kazi. Lakin hoja hapa ni kuzaa kwa malengo! Watoto weng ni matokeo ya mimba zisizotarajiwa!
Binadam yumo kwenye orodha ya viumbe wachache sana wanaofanya sex kwa hamu yan starehe na\au kuzaa.
Sasa changamoto ni namna ya kufanya sex kwa ajiri ya starehe tu na ukabak salama!!
Ndo mbinu tunazopeana kwa mada hii.
Na kwa vile mbegu za mwanaume ndo huleta tafran si vibaya ikatumika njia salama ya kudhibiti kule stoo.
Njia ya kudhibit mwanamke imekuwa na side effects nying. Ikiwemo ile mbaya kuliko zote ya kupoteza ham na KUKAUKIANA. (Wengine had wanaota gaga kule!)
Tusisahau wao hawaendesh hili game! Wanapokea.
Mf mzur ni kubakwa, Kubananishwa, kunyegeshwa bila kutarajia, calenda kubadirika, njia anayotumia kufeli, n.k.
BASI WANAUME TUJADILI TUNA MCHANGO GANI KUKABILIANA NA TATZO LA MIMBA ZISIZOTARAJIWA? KAMA WAO WALIVYOKWISHA LETEWA MBINU NA MADAWA KILA AINA NA WANATOA USHIRIKIANO!
 
Wanaume tunataka watoto tu, hapa nimeanza tu safari nina watoto wanne, uchoyo wa watu wa Ulaya kuzaa, kumewafanya watu weupe kuwa hatarini kutoweka miaka ijayo, maana waarabu walioenda ulaya ndio wanazaa na kushika ofisi nyingi ambazo zimekosa watenda kazi kwa sababu ya kupungua nguvu kazi. TUZAE NA TULEE JAMANI.
Hata Japan wako hatarini zaidi, karibu wote wana miaka 90+, vijana ni wachache mno na wako busy na kazi kiasi hawana muda wa kuzaa na kulea, wamebaki kufuga mbwa tu mdani
 
Na serikali ilivyo utashangaa wanavileta 🤣

Kitaumana kwenye kunywa Sasa nani anywe?
Kama kwenye chanjo ya Corona, wamenunua kwa pesa kibao, halafu kwenye kunywa wote tunasakiaziana , matangazo redioni na T.V ila wapi, hadi zime-expire, tukala hasara
 
Kama kwenye chanjo ya Corona, wamenunua kwa pesa kibao, halafu kwenye kunywa wote tunasakiaziana , matangazo redioni na T.V ila wapi, hadi zime-expire, tukala hasara
Nafikiri serikali imeshajua saikolojia ya watu wake najua hawataacha kuleta ila nachowaomba walete kiduchu tu maana wakileta zigo kubwa watakunywa wao mpk wakija kuyamaliza watakuwa wamepata wanachokitaka!.
 
Hawa wazungu lazima watuwekee kwenye Pombe, kama walivyofanya makaburu wa SA ili kucontrol population, naacha pombe kabisa
 
Nashauri hizo dawa zikija bongo ili wapate wateja wa kutosha wasitangaze kua ni dawa za kuzuia mimba bali watanganze ni dawa za kuongeza nguvu za kiume, tena zipigiwe promo kubwa kuliko hata ile promo ya vumbi na Congo.
 
Yaani bado hawatosheki.
Simu zote wanazotulisha kwenye chakula ,Kama mahindi,nyama ya kuku na ng'om be n.k bado hawatosheki?
mahindi unaanza kulima unaweka sumu,yana kuwa unaweka sumu,unavuna unaweka sumu
Mpaka yamfukie mlafi ni sumu tupu.
 
Back
Top Bottom