Mazugwa
Member
- Apr 19, 2013
- 63
- 61
Habari za wakati huu wana JF,
Ni matumaini yangu kuwa hapa nitapata ushauri na pamoja na vitu au watu ninaowahitaji na kama pia nitakua siko sahihi nitaomba kurekebishwa.
Nahitaji wanasayansi kutoka Tanzania kuanzisha research center kubwa kuhusu mambo ya anga na teknolojia zake ili kuinua uelewa na kuikuza Tanzania kisayansi, kujenga uhusiano wa kitaifa na pia kimataifa kuhusu sayansi ya anga.
Kutengeneza wanasayansi wakubwa wenye uwezo wa kujitegemea ili kukuza uwezo wa kisayansi na ugunduzi wa vitu vipya hapa Tanzania na mwisho kutengeneza jamii ya kisayansi.
Maana naamini kua katika research center hiyo karibia kila kitengo kinachohusiana na sayansi kitakuepo, watu wa afya, civil engeneers nk.
Mwisho nina imani watanzania tunaweza kufanya kitu chochote katika muda wowote kimaendeleo.