kibali
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 504
- 421
Kuna athari kubwa sana watu hawajui, nimekua nikijua kuwa hiyo ndiyo picha ya Yesu tokana na kuwa nyumbani zilikuwepo na nyumba nyingi za wakristo zilikuwa na picha ya tuliyeaminishwa ni Yesu. Nikifahamu ukweli nimeshakuwa mtu mzima na inasikitisha kuwa hata baadhi ya makanisa yametundika hizo picha.Wewe binafsi hujaziona athari za huyo jamaa?
Watu kuweka mapicha ya huyo jamaa majumbani kwao unaona ni sahihi?
Wengi hawajui kama yule ni muigizaji tu kama Rambo.
Deacon huyu. View attachment 1979579
Nadhani ifike mahali waKristo waambiwe ukweli na watumishi ili wanaopamba wakijua ni picha ya Yesu waujue ukweli.