Wanapata wapi ujasiri wa kupamba Madhabahu kwa picha za wafu?

Umenikosea sana kusema kwamba mm ninaweza kuelezea kwamba hiyo picha inawakilisha Kanisa au madhabahu!!! Mm siwezi kuwa na tafisiri ya ajabu kiasi hk labda Kama ulimahanisha wewe mwenyewe au tu hukunielewa..

Ndio maana nikakwambia unatatizo la uwelewa wa neno kanisa na neno madhabahu. Maana unaona pale walikoweka picha ndio unapaona patakatifu tuuu kumbe wee mwenyewe ata pasipo kwenda mle still wee unamadhabahu na wee ni sehem ya kanisa.

Kwa kuwa sasa nimedhibitisha nilicho hisi ngoja sasa tusaidiane aina kuu 3 ya makanisa na nitakwambia ni kanisa lipi litanyakuliwa Siku Yesu akirudi kwa mujibu wa Biblia.

Kuhusu madhabahu ziko madhabahu nyingi za Mungu na za mashetan lakin tayari nimeisha kuelezea kwa kifupi kwamba wewe pia Kama unahishi maisha matakatifu, ndani yako kuna hekalu la Mungu, Kama roho wa Mungu yumo ndani yako, Basi unayo madhabahu ya Mungu ndan yako.

Mkuu tafisiri ya kanisa kwa mujibu wa theolojia, ziko tatu

1.kwanza tuna kanisa Kama jengo au hekalu, haya pia Yesu aliyakuta mahekalu na masinagogi n.k

2. Pili tuna Kanisa la mahali pamoja yaan (local church) hii ni kundi la watu walio kusanyika Mahal pamoja kwa lengo au nia ya kumuabudu Mungu n.k

3.Tatu tuna kanisa la ulimwengu (Yaani universal church) na hili ndilo kanisa pekee litakalo nyakuliwa. kanisa linalozunguziwa kwa mfano kwenye mathew 24:30-31,n.k.

Kanisa hilo ni Wakristo wote dunian ambao wanamwamini Yesu kuwa ni mwokozi, na wanahishi maisha matakatifu. Na ndan ya mioyo yao wamejaa na hofu ya Mungu.

Biblia inasema ata waliokufa zaman wakiwa na Yesu, watafufuliwa na kupewa miili ya mipya soma 1Wathesalo wa kwanza 4:16.

Hivyo bas, bila kukuchosha, ile picha Kama ata haijawekwa pale ukutan kwenye madhabahu ya jengo, inaweza kuwa kwenye madhabahu ya ndan ya moyo wako kwsbb huyo ni mpendwa wako na wewe ni sehemu ya universal + local church.

Tusichukulie kwamba picha ile kuwa pale ni kuchafua madhabahu ya Mungu bila kujua kwamba sisi pia ndan yetu tuna wajibu wa kulinda mioyo yetu. Kibaya zaidi kma wataiabudu hapo ndo dhambi kubwa Sana kuabudu sanamu
Maelezo yako marefu mno ila yamebeba utetezi wa picha ya marehemu kuwekwa madhabahuni sio tatizo. Jitahidi kuelewa kuwa baada ya kifo ni hukumu na kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Kumuweka moyoni marehemu ni kupungukiwa imani, kuweka picha ya marehemu madhabahuni ni ibada ya sanamu
 
Back
Top Bottom