Wanaozuia mishahara kupanda ni Naibu spika na wabunge wa ccm, angalia maamuzi yao kuzima hoja wafanyakazi wasipandishiwe mishahara

Huwa najiuliza kwa nini kura zisipigwe kwa button kwenye kila meza ya mbunge na kuonekana tuu kwenye screen? Yaani huyu naibu kapindisha matokeo openly.... Cha ajabu wabunge badala ya kupinga wako kimya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na idea kama hiyo . Kwamba kama ndio wanabinyeza button ya green. Kama hapana wanabonyeza red. Matokeo yatajionyesha kwenye screen ya speaker pale mbele lakin wao pia screen zao zitaonyesha matokeo ya kura.

Hii itazuia kudanganya au kupindisha kura za kupisha jambo fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly ndivyo wanavyofanya wengine, kwanza zinakuwa kura za haki na pili kuokoa muda... Kama wameweza kujenga bunge kubwa and luxurious kuzidi la Uingereza surely hawezi kushindwa ku install hii kitu. Sema I know hawatakubali maana watashindwa kuchakachua...

Hilo la kutumia teknolojia hawawezi kulifanya, maana watashindwa kuzima hoja ambazo zinaibana sirikali. hapa ni mwendo wa ndiyoooooo.....siyooooooooo
 
Exactly ndivyo wanavyofanya wengine, kwanza zinakuwa kura za haki na pili kuokoa muda... Kama wameweza kujenga bunge kubwa and luxurious kuzidi la Uingereza surely hawezi kushindwa ku install hii kitu. Sema I know hawatakubali maana watashindwa kuchakachua...

Sent using Jamii Forums mobile app
Damn right . Kama mfumo huu hautowanufaisha chama fulani wataukataa. Japokuwa wanajua kuwa ni muhim ila hawatotaka maana utawaumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza kwa nini kura zisipigwe kwa button kwenye kila meza ya mbunge na kuonekana tuu kwenye screen? Yaani huyu naibu kapindisha matokeo openly.... Cha ajabu wabunge badala ya kupinga wako kimya...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hii facility ya kupiga kura za siri ipo kwenye mfumo wa mawasiliano bungeni; na uliwekwa kwa gharama ya kodi zetu.
Inashanaza sana kwa nini haujawahi kutumika. Kwa ninwalikubali kuingia gharama ya kitu ambacho hakihitajiki?!
 
Mskilizeni mpaka Mwisho Mhe Ruth Mollel Mbunge wa Chadema nimeshangaa sana Maamuzi ya Naibu Spika.

Japo kuwa unaweza kushangaa kuna wabunge wa ccm hawataki wafanyakazi waongezewe Mishahara lakini Japo wachache wamesikika lakini Wameshinda.

Bunge gani hili ambao halitendi haki.

Kiruuuu..yani walioitikio ndiyoo wamesikika wengi zaidi ya walioitika siyooo..lakini bi Dada kasema siyoo wameshindaaa..kiboo
 
Mskilizeni mpaka Mwisho Mhe Ruth Mollel Mbunge wa Chadema nimeshangaa sana Maamuzi ya Naibu Spika.

Japo kuwa unaweza kushangaa kuna wabunge wa ccm hawataki wafanyakazi waongezewe Mishahara lakini Japo wachache wamesikika lakini Wameshinda.

Bunge gani hili ambao halitendi haki.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba Naibu Spika wa Bunge la Tanzania ( bunge dhaifu ) , Tulia Ackson , Ndio mwanamke mwenye roho mbaya zaidi Africa kwa sasa .
 
Ni kweli,ktk Afrika mwanamke mwenye ROHO YA KUTU,na UELEWA MDOGO ni naibu sabufa wa bunge la Tanzania.
Inasemekana kabla kikao cha bunge hakijaanza,huwa anajifungia chumbani,anavuta ile kitu ki sirisiri na baada ya hapo anaingia bungeni kufungua kikao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly ndivyo wanavyofanya wengine, kwanza zinakuwa kura za haki na pili kuokoa muda... Kama wameweza kujenga bunge kubwa and luxurious kuzidi la Uingereza surely hawezi kushindwa ku install hii kitu. Sema I know hawatakubali maana watashindwa kuchakachua...

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tuwakatae Bokoharam kwa gharama yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mskilizeni mpaka Mwisho Mhe Ruth Mollel Mbunge wa Chadema nimeshangaa sana Maamuzi ya Naibu Spika.

Japo kuwa unaweza kushangaa kuna wabunge wa ccm hawataki wafanyakazi waongezewe Mishahara lakini Japo wachache wamesikika lakini Wameshinda.

Bunge gani hili ambao halitendi haki.
Pongezi kubwa sana kwa Watumishi wetu kama wameweza kufanya kazi bila nyongeza ya mishahara kwa miaka 4 huo ni Uzalendo Mkubwa naamini wanaweza kufanya kazi zao bila nyongeza ya mishahara.Chapeni kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom