Wanaoyabeza kuyadharau maisha ya South Africa (SA) Astroway

Unaongopa ....

SA nzima Kuna wabongo takriban laki moja maximum , wanaofanya biashara za trucking hawafiki 30 na ni ma- alwatan. ..

Ninyi ndio mnaotoa "false hopes " na kufanya vijana wakimbilie South Africa na kuharibikiwa huko.
Nimdanganye nani mbona Watanzania wanaharibika Tanzania tuu hapa panya road wapo Tanzania na vikundi kibao vya uhalifu vipo Tanzania hao Watanzania laki moja tuu wapo Johannesburg na si SA yote...Watanzania wengi wamefanikiwa kupitia SA sema ninyi wenye roho zenu za kutu kuongea kuwa sehemu fulani ukituliza akili utafanikiwa unaona kama utapasuka...
 
Kuharibikiwa ni mfumo wa misingi yako.. hata hapo ulipo ukiamua kuharibikiwa ni rahisi tu na sio swala la kushawishiwa.. usiongopee watu
 
Nimdanganye nani mbona Watanzania wanaharibika Tanzania tuu hapa panya road wapo Tanzania na vikundi kibao vya uhalifu vipo Tanzania hao Watanzania laki moja tuu wapo Johannesburg na si SA yote...Watanzania wengi wamefanikiwa kupitia SA sema ninyi wenye roho zenu za kutu kuongea kuwa sehemu fulani ukituliza akili utafanikiwa unaona kama utapasuka...

Na mtu kama huyo ukimkuta anafanyisha kazi vibarua mda wa kuwalipa mtihani.. vijana mkipata nafasi nendeni SA kama utakuwa na misingi yako na misimamo hakuna atakaye weza kukushawishi uharibikiwe... never
 
Na mtu kama huyo ukimkuta anafanyisha kazi vibarua mda wa kuwalipa mtihani.. vijana mkipata nafasi nendeni SA kama utakuwa na misingi yako na misimamo hakuna atakaye
Wapo Watanzania SA walienda na nauli tuu leo wapo mbali sana na wengine ukikutana nao huwezi jua kuwa ni Watz hao madogo wenye maduka makubwa ya hardware JHB au yule dogo ana maduka kama utitiri JHB CBD angekua Tanga angefanya nini wakati miaka mitano nyuma alikua mchimbachumvi tuu..
 
Hakika mkuu.. kwanini? Sijui yanayabeza/kuyadhalau maisha ya SA.. watu wanalisha familia zao na kutegemewa kwa ukubwa sana msingi ni kusafiri SA
 
Umekaa SA mji gani? Mitaa ipi? Kwa jinsi ulivyoandika hii story unamzungumzia mtu hujizungumzii wewe, ninamaanisha kwamba kwa aina ya uandishi wako na ulichokiandika South Africa hujafika, na kama umefika basi hujazidi miezi 3, prove me wrong Mkuu!
 
Nikajua utakua umeshatoboa kumbe bado Bora utupe stori ya mademu wa SA tu hizo 3M ulizotafuta kwa miaka mitatu huko kwa hapa bongo mbona ungeweza pia, mm sina raman ya kueleweka lakin ndani ya miaka mi5 hapahapa bongo nimefanya mambo ya karibu 26M kumbe nikienda SA ntakua narudi nyuma tu
Sasa wewe wa 26m kwa miaka mitano ni 5,200,000 kwa mwaka kwaio ninyi ni ndugu wa baba mmoja....🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wewe wa 26m kwa miaka mitano ni 5,200,000 kwa mwaka kwaio ninyi ni ndugu wa baba mmoja....
Ndo maana nikasema muhuni hajanishawishi kutoka huu uzi ni sawa na kuniambia huko mbele ni kugumu zaid
 
Umekaa SA mji gani? Mitaa ipi? Kwa jinsi ulivyoandika hii story unamzungumzia mtu hujizungumzii wewe, ninamaanisha kwamba kwa aina ya uandishi wako na ulichokiandika South Africa hujafika, na kama umefika basi hujazidi miezi 3, prove me wrong Mkuu!

Mkuu.. nafikiri haitokuwa na faida kwa yeyote kama kweli niliwahi kuish au laa ... kikubwa ni kila mtu ashike kwake tufaidike.. unasemaje mkuu.. kama bado haujarifhika njoo pm.. tumalizane
 
Nakuja pm unipe ramani seaman wa gomz.....watanzania walioko south africa huwa wanajiita wasela mavi why?

Baadhi yao wajinga wajinga.. wenye uelewa wao hawawezi kujifananisha na mavi.. jinga jinga tu ndio zinajifananisha na mavi
 
Baadhi yao wajinga wajinga.. wenye uelewa wao hawawezi kujifananisha na mavi.. jinga jinga tu ndio zinajifananisha na mavi
Mkuu heshima kwako. Naomba connection ya mademu wale wenye bantu waliojaziajazia naskia Capetown wapo wa kumwaga kabila la Mandela Khosa.

Nitashukuru Sana. Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa!

FB_IMG_1643073971042.jpg
 
Back
Top Bottom