Wanaoyabeza kuyadharau maisha ya South Africa (SA) Astroway

Yaani kiufupi kama mwanaume ukiwa una matamanio na wasichana... kinyume chake popote wengi wao wapo hivyo
Inawezekana umefika South Africa ila hujawahi ishi South Africa. ...
Na inawezekana kabisa hujawahi fika wala ishi, ila umesimuliwa.

Uwe na siku njema.
 
Inawezekana umefika South Africa ila hujawahi ishi South Africa. ...
Na inawezekana kabisa hujawahi fika wala ishi, ila umesimuliwa.

Uwe na siku njema.

Inakuwa haina faida yeyote kuhakikisha kitu ambacho hakiwezi kukusaidia ..
 
Kama upo SOUTH AFRICA jua tu ukimwi mwingi usije ukaja kulia BONGO kuwapa tabu ndugu zako.. wakati ulikuwa ukila raha zako peke yako
 
Nimepitia comments zako nyingi, nimegundua unachangamsha jukwaa

You never been on those terrains.

Upo vizuri kwenye kutengeneza story za kubumba...kongole

Sio mgunduzi mzuri... ila shukrani kwa kupitia pitia hizo comments
Siwezi kukuforce.. kwani sio faida kwangu wala kwako.. ukweli utajibeba wenyewe
 
Ndogo kaka .. yaani hiyo pesa kwa aliyekuwa bongo siku zote ataweza kuizungurusha ila kwa mimi naichoma kaka .. coz mgeni sasa hapa

Sijui niingie wapi? Nitokee wapi? Naona nitafuta kiwanja cha pesa hiyo ninunue niende kujichanga pesa ya kujenga kaka .. bongo ukiwa na nyumba alaf kijana mdogo.. maisha mazuri kaka najua unalijua hilo.. nikiingia kwenye biashara naichoma hii pesa kaka mzunguuko wa bongo itaiua.. bora south.. naweza hata nikanunu midonge na michumi nirudie zama zangu naizalisha hii pesa kwa kule
 
WAKUU .. KARIBUNI TENA KUNA COMENT MOJA IMENISHAWISHI NIIANDIKIE NAMBA (2) ile ya kwanza ntaipa namba (1) karibuni sana
 
“SIO MALAYA WOTE WANAUGONJWA WA ZINAA”
Jamaa kaanza vizuri eti astroway sio maisha ya kuyabeza.
Mimi nimesoma ila ndugu zangu huyu jamaa kweli south ameenda ila tunavyoongea hayupo sawa kiakili. Mwamba inaonekana anatatizo la fuse kalipata huko.
(Kama unanielewa vizuri). Huyu mtu akikukalia mbele anaongea unaweza kubaki umeduwaa😂😂😂.
Alfu hiyo milioni tatu ya miaka yako mitatu. Kuna jamaa wanaiua pale sehemu daslam nusu saa tuuu.😂😂😂. Tulia hapa hapa upambane ndugu.
 
“SIO MALAYA WOTE WANAUGONJWA WA ZINAA”
Jamaa kaanza vizuri eti astroway sio maisha ya kuyabeza.
Mimi nimesoma ila ndugu zangu huyu jamaa kweli south ameenda ila tunavyoongea hayupo sawa kiakili. Mwamba inaonekana anatatizo la fuse kalipata huko.
(Kama unanielewa vizuri). Huyu mtu akikukalia mbele anaongea unaweza kubaki umeduwaa.
Alfu hiyo milioni tatu ya miaka yako mitatu. Kuna jamaa wanaiua pale sehemu daslam nusu saa tuuu.. Tulia hapa hapa upambane ndugu.

Vizuri sana .. kwa wazo lako ila nipo timamu kuliko unavyofikiri.. kuhusu hao wanaoua mil-3 achana nao NANUNUA KIWANJA ALAFU NAENDA TENA SOUTH AFRICA MKUU... shukrani kwa kunielewa kiasi MTAKATIFU ASANTE
 
Nikajua utakua umeshatoboa kumbe bado Bora utupe stori ya mademu wa SA tu hizo 3M ulizotafuta kwa miaka mitatu huko kwa hapa bongo mbona ungeweza pia, mm sina raman ya kueleweka lakin ndani ya miaka mi5 hapahapa bongo nimefanya mambo ya karibu 26M kumbe nikienda SA ntakua narudi nyuma tu
Endeleeni kudanganyana hivyo hivyo kila sehemu kuna level ya kupata kwa kila mtu inawezekana yeye alivyotoka na alichokipata ni stahiki kwake maana hata Tanzania hapa wapo ambao hawajapata hizo kwa muda huo mnavyoandika utadhani Watanzania wote waliobaki ni matajiri wakati tunaonana humu tukigombania dala dala za kwa mpalange...
 
Umekunywa chai lakini? Au homa inakusumbua?
 
Back
Top Bottom