Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Kuna watu na vitu. Vyote ni Mungu kaumba, ila kuna kitu kinaitwa siasa, kitamaliza watu wengi sana.
Kuna watu wako mtandaoni kila panapo itwa leo huku wakiendeshwa na akili ya makundi. Makundi yana shida sana katika mafanikio. Unaweza ukaona upo zaidi ya wote kumbe wote wanakupita kwa yote.
Katika siasa, bila kuwekeza kwa watu huwezi fanikiwa.
Naomba wanaojifanya kujua kila kitu kwa sababu ya siasa na makundi ya mitandaoni wajiangalie upya.
Mfano alikuwepo kamanda Ben na Mtatiro. Hawa wametumia sana mitandao na kujifanya wanajulikana na ni maarufu. Mwisho tumeona nini kilifanyika na sasa wako wapi.
Tujiangalie upya na siasa zetu, tutapotea.