Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

Well Said;
Itapendeza *TARURA/TANROAD wanapojenga Barabara, wasiweke service road , wala peavings , WAWEKE MABANDA PEMBEZONI mwa Barabara zote nchini yakae tu hata kama hakuna wahitaji maana wanyonge wanatakiwa wafanye Biashara Humo...
Ni kweli wana familia waachwe wafanye biashara kila mahali, pia wauza bangi,mirungi,unga na gongo waachwe wafanye biashara maana wana familia zinazo wategemea
 
Labda nihulize.."kati ya mchuzi na mnunuzi nani wa kumfuata mwenzake kwenye uhitaji wa lazima..??..
 
Leo nimepitia Mtaa wa Nyerere, Rwegasore, Pamba hapa Mwanza kwa kweli Mhe. Rais kutoka moyoni ninakupongeza kwa uamuzi uliouchukua wa kuwapanga machinga kwenye maeneo mapya. Machinga walijitawala na kufanya miji kuwa michafu na hawakutaka kupokea ushauri kwa gharama yao waliokuwa wanalipa ya Tshs.20,000.

Hakika tulikuwa tunaelekea pabaya kutokana na machinga. Pamoja na hayo pokea ushauri wao wa kujenga na siyo kurudi kwenye maeneo ya zamani. Hongera sana Mhe. Rais.
 
kuna mtu namjua ana vibanda vitano ameviweka pemben ya barabara anasubiria kod tu kila mwisho wa mwezi.Ss na huyu ni mmachinga?Mmachinga (matching guys) ni yule anayeshika bidhaa zake mkononi tu,wengine hawa ni wafanyabiashara wenye mitaji ya kuweza kulipa frem za bei ndogo na maisha yakasonga.
Huyo sahizi sipati picha hata kama usingizi anapata tena 😂 alizoea kula kwa ubua
 
Kumbe humu kuna vichaa, yaan mauzo yanatokana na mtaji? We chizi eeh. Kama hujui kitu nyonyesha watoto wako na sio unakuja hapa kuongea vitu hata hujui.

wee mpumbavu nini!!!

utauza milioni nne kwa mtaji wa laki 2 au unafanya biashara ya bangi!!!
halafu kuna mbuguma wenzako wamekupa likes,kuonyesha ni jinsi gani taifa liko kwenye hatua mbaya.
 
wee mpumbavu nini!!!

utauza milioni nne kwa mtaji wa laki 2 au unafanya biashara ya bangi!!!
halafu kuna mbuguma wenzako wamekupa likes,kuonyesha ni jinsi gani taifa liko kwenye hatua mbaya.
wewe ni kichaa na hujui nini maana ya mauzo. Kwahiyo ukiwa na mtaji wa laki 2 mwaka mzima utakuwa umefanya mauzo ya laki 2 pekee?? Wewe hupaswi kuwa hapa JF ni mjinga na ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom