Wanaotumia Udart ni moja ya kundi lenye maisha ya shida sana hapa Dar

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
1,717
2,000
Swali langu ni hili kwa menejimenti,Halmashauri ya jiji na Mamlaka za Juu.Hivi hii kero ya usafiri wa UDART hawaijui,hawaisikii,hawaioni au hawajali? Hivi kilio hiki tupeleke kwa nani na nyinyi mpo lakini mpo kimya kana kwamba ni wimbo wa kuburudisha tu masikioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
27,932
2,000
Huu mradi wenyewe unasuasua wanataka kuanzisha mradi wa kwenda Mbagala,yaani nchi hii huwa hatujifunzi
Ni sawasawa na kuuliza Azimio la Arusha liko wapi unaambiwa lipo ila Pia tuna Azimio la Unguja hapo hapo juzijuzi tulipokea wajumbe wa Chama Cha Kikomunisti Cha China.

Tukaahidi kuwa CCM itatawala Milembe na Milele
Daah!!!....Tundu lissu pona haraka!
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
12,079
2,000
Mswahili raha yake ni kukaa kwenye v8.. na ukimwuliza atakwambia huo ndio uongozi. Akitumbuliwa anataigua hata mwezi kwa kukosa kiyoyozi cha v8..

Ni kama nchi huu hakuna uongozi.

Solution ni ndogo sana.

1. Rudisha wakatisha ticket maxcom au hata mbia mwingine.

2. Ticket zote ziwe electronic na zipatikane kwa mitandao yote hasa ttcl.

3. Kila basi lilipwe kwa km.

4. Na dereva akipitisha kitu apigwe/kampuni faini siyo chini ya mil 5.

5. Data za kila siku zitumie kukadiria idadi ya mabasi kulingana na muda wa siku.

Kama kila basi litalipwa kwa km basi tunaweza kuwa na operator hata kumi.

Mungu ibariki Dunia hii
Swali langu ni hili kwa menejimenti,Halmashauri ya jiji na Mamlaka za Juu.Hivi hii kero ya usafiri wa UDART hawaijui,hawaisikii,hawaioni au hawajali? Hivi kilio hiki tupeleke kwa nani na nyinyi mpo lakini mpo kimya kana kwamba ni wimbo wa kuburudisha tu masikioni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,834
2,000
kituo cha kimara mwisho kuna jamaa aliacha kiatu kimoja chini na alikuwa anaenda kariakoo sasa nikawa najiuliza kiatu kimoja alichobaki nacho mguuni atakitupa au atakuwa anakata mitaa huku amevaa kiatu kimoja?

Usiombe jioni ikukute upo mjini na unataka kurudi home
 
🙁🙁🙁🙁🙁Daah!!!!...Maskiini kisa kinatia huruma sana.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,828
2,000
kituo cha kimara mwisho kuna jamaa aliacha kiatu kimoja chini na alikuwa anaenda kariakoo sasa nikawa najiuliza kiatu kimoja alichobaki nacho mguuni atakitupa au atakuwa anakata mitaa huku amevaa kiatu kimoja?

Usiombe jioni ikukute upo mjini na unataka kurudi home
Aiseeeee !!
 
gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,943
2,000
Mbona kazi ndogo tu wagize watu binafisi walete basi kama zile zao harafu wao wakusanye kodi za wanyonge uone kama hazijawa utitiri kwenye zile barabara za UDART
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom