Wanaotumia simu, kompyuta wapewa tahadhari

kiwenini

Member
Nov 25, 2018
73
43
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
 
Naona umetuandkia kwa kutumia ubao hutumiii kabisa hizo tajwa hapo juu. Hongera mkuu😂
 
Back
Top Bottom