Wanaotumia samsung grand prime+ tupite hapa kupeana best use za simu zetu, changamoto na ubora wa simu janja hizi

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Wakuu,unanufaika nini na Samsung yako tofauti na watumiaji wa simu tofauti?

Changamoto kuu ya simu hizi kwangu ni storage yani daah, nachukia balaaa🤔🤔😂
 
hii ndio bland ambayo samsung alipuyanga kupita zote.

sijui kama atakuja kutoa boko kama hili tena.
 
Back
Top Bottom