Wanaotuhoji kwanini ' tunaojitambua ' vyema Vichwani tumempenda Rais Samia majibu yao yapo katika hii Nukuu yake...

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
" Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa, Ajira nyingi Kutoweka, Mzunguko wa Pesa kuwa Mgumu kupelekea Kilio cha kila Siku kwa Wananchi kuwa Mifuko yao inazidi kuwa mitupu tu "

Tumempenda Rais Samia Suluhu Hassan siyo kwa bahati mbaya tu bali kwa dhamira yake Kuu kwa Watanzania wengi, kuwa ni Mtu aliyejua Kilio Kikubwa cha Watanzania ( cha Ukata mkubwa Mifukoni )

Hatahivyo haongozwi Kimihemko, ila anaenda na Slogan nzuri ya Watu makini ya ' Slow but Sure ' ambayo naamini itamsaidia na atatuongoza vyema tu kabisa.
 
Point ni kwamba yeye ni sehemu ya haya maovu na amesema atamuenzi marehemu


In short umengatwa na kupulizwa ukangatwa tena
 
Back
Top Bottom