Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,395
Imebainika kwamba, ni vigumu kwa mwanaume kugundua kuwa mkewe anatoka nje ya ndoa, kama mwanamke huyo anatoka kwa ajili ya kutafuta fedha. Ni kwa sababu, wanawake wanapotoka nje ya ndoa zao kwa kuwapenda hao wanaotoka nao, hubadilika sana kihisia, kiasi kwamba, ni lazima watajiachia na kukamatwa.
Lakini wanapotoka nje ya ndoa zao kwa sababu ya fedha, hawashikwi kihisia na hivyo uwezo wa kujificha bila kufumaniwa ni mkubwa. Kinachofanya wanawake wafumaniwe ni kulewa kihisia kunakotokana na kupenda. Mwanamke anapopenda hawezi kuficha.
Lakini anapofuata fedha, anaweza kuficha hisia zake, kwa sababu hapo hakuna upendo. Kama unatembea na mke wa mtu na huyo mwenye mke hajamshtukia mkewe, basi ujue kwamba, mwanamke huyo anakufuata kwa sababu ya fedha zako na siyo upendo.
Kwa kawaida kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa kuwa anampenda mwanaume huyo wa nje, basi haiwezi kupita miezi sita kabla hajashtukiwa na mumewe. Huu ni ukweli unaotokana na hisia za mwanamke, kwamba, anapopenda hawezi kujizuia.