Wanaotoka JKT wapewa muda kuomba mikopo ya elimu ya juu

fisadimpya

Senior Member
Oct 27, 2011
191
103
Kwa wenye madogo wanaomalizia msoto wakujitakia ndani ya JKT, Bodi imewaongezea siku 10 kuanzia tar 20 hadi 30 ili waweze kuomba mikopo ya elimu ya juu.
 
Yaana kama wew ni mwanafunzi na unatamani uendelee na masomo tena kupitia mikopo ya bodi na hujaomba mpaka sasa kisa JKT bac inashangaza.Yaan ujali sana JKT ambayo ukitoka hapo hupewi hta kazi ya kulinda ATM..
 
Back
Top Bottom