Wanaotembelewa twaita "mashoga", wanaotembelea je?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani nimepita sehemu nikaulizwa hili swali na sababu
sina experience nalo nikaona nililete hapa kweza kupata msaaada
wale wanaume wanaotembelewa wanaitwa mashoga je wale wanaume wanaowatembelea wanaitwaje??
 
the boss
una exeprience mpaka nafurahi,,mawazo yako nayahifadhi zaidi
unapochangia sector kama hizi kila nikienda kwenye kamusi nakuta ukosei
 
the boss
una exeprience mpaka nafurahi,,mawazo yako nayahifadhi zaidi
unapochangia sector kama hizi kila nikienda kwenye kamusi nakuta ukosei
hajui kitu huyo Boss....wanaitwa mabasha
 
Wanao tembelea sio mashoga , ila pia kwa kitabia na weza kua shoga
Ushoga ni nini?
Ushoga umetokana na neno "Shoga" ambalo mwanamke anapo mtambulisha mwanamke mwenzake kama "Shoga yangu" yani marafiki walioshibana.
Hapo ndio likachukuliwa neno "Shoga" na kua rasmi kama la Mwanaume wmenye tabia za kike yani umbeya, kuetembea, kuonega ,kusfanya mambo kama mwanamke na kuwa na marafiki wakike kiasi cha wanawake kumuita"Shoga" huku akiw ana matamanio ya mapenzi kwa wanaume wenzake , hiyo ndio "Shoga"

Shoga ni gay?
Yes Shoga ni gay, ni gay ambaye anpenda amambo ya kike
Mtembeleaji anajina gani?
Mtembeleaji anaitwa Basha
Basha ni gay?
Yes basha ni gay
Bsha ni shoga
Inategemea, basha asiye na mambo ya kike , yeye ni basha, BAsha mwenye mambo ya kike ni Shoga.
So Mtembelewaji sio shoga moja kw amoja ingawa ni gay
 
The boss na Bwabwa wote mpo sahihi, kuna mashoga ambao wanapeana zamu kwanza wewe halafu kisha zamu yako. na wapo wale ambao mmoja ni mtendaji tu huyu ataitwa basha.......ukikutana nae kimbia la sivyo umeumia
 
Mtoto wa Kishua
user_offline.gif

Mtoto wa Kishua has no status.
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Oct 2009
Posts: 157
Thanks: 0
Thanked 40 Times in 31 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif



we kijana nimeona signature yako I hate Tanzania
unaweza kutoa sababu?
 
Mtoto wa Kishua
user_offline.gif

Mtoto wa Kishua has no status.
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Oct 2009
Posts: 157
Thanks: 0
Thanked 40 Times in 31 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif



we kijana nimeona signature yako I hate Tanzania
unaweza kutoa sababu?


Kwani lazima niipende? ila labda nijaribu kuku saidia kidogo ,Sio kwamba siipendi land , Land na ipenda ,ila nachukia jina la nchi TAnzania, sababu ya watu wake walivyo natabia mbaya, ubinafis, uchoyo ,rohombaya na kutopenda kusaidia wengine , wao nikujilimbikizia tuu na sio kugawa ,nchi isiyo jali raia wake kwa kisingizio ni masikini na watu ndio walio ipa jina Tanzania so I REALLY REALLY HATE TANZANIA
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom