Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

Muleba nimetembea pale mjini na vijijini. Changamoto ni nyingi.
Hakuna sehemu isiyokuwa na changamoto mkuu kaa ukijua Hilo

Tanzania ni developing country bado.

Hiv Kuna mkoa wenye changamoto Kama dar?
 
As the gardener so as the garden. Majengo ya Halmashauri yanaakisi kipato cha wananchi na uwezo wao wa kuchangia shughuli za maendeleo. Kwa hiyo uduni wa miundombinu ya Halmashauri ni Sawa na uduni wa kipato cha wananchi kwenye Halmashauri
We unachekesha kweli hebu twambie huko ambako wananchi wamejenga halmashauri. Yaani unaacha kuilaumu serikali inayoshindwa kwenda na kasi ya wananchi unalaum wanachi. Sijawahi kusikia wananchi wakichangia kujenga majengo ya halmashauri Tanzania hii ambayo zahanati na madarasa ni shida
 
Kuanzia kyamirwa, izimbya, mpaka kyaka wasukuma wapo kibao wanalima mchele, sikuwahi kujua kagera kunastawi kila kitu aisee. Yahani Great Empire isipofanyiwa wivu mpaka miaka mitano ijayo wahaya watakuwa mbali sana. Vijana kwa sasa halali. Kila fursa wanaiona. Ukienda gulio kutana maajabu ya mbona mboga zilivyojazana hadi wanazimwaga kwa kukosa soko. Wasipohujumiwa kwenye vanila huu mkoa utaenda mbali sana. Ila nimegundua wafanyabiashara wanapanga bei na mkuu wa mkoa anawaangalia tu. Ikiwezekana kila mkoa mkuu wa mkoa awe anatoka maeneo husika hayo ndiyo maendeleo, sasa unachukua mkuu wa mkoa toka lindi atapapenda vipi huko. Wataendeleza mawivu tu kudidimiza mkoa
Ni kweli mkuu mkoa huu hauwezi kulia njaa hata kidogo, alafu wazembe na wenye chuki wanasema eti Wahaya wachoyo wakati wasukuma wamekuja wakapewa maeneo wapo wanalima mpunga kila wilaya sasa hivi. Serikali ya CCM imeshindwa kujenga masoko kwenye wilaya za kyerwa, Karagwe na misenyi ili tuuze bidhaa zetu nchi za jirani
 
Hata hivyo mkoa huu unajitahidi sana ulikutana na majanga mengi. Kwa sasa mkoa kagera uluondokana na uzamani wa kutotaka wageni, nilishangaai unakutana na Masai ashaweka mashuka pembeni, anapiga kazi, wasukuma wanalima na kufuga, nimeona na wapare wanalima ndizi wanasafirisha ethiopia , bukoba kuna magimbi mengi yanasafirishwa kwenda shelisheli na zanzibar na yanatafutwa kinoma yaani.
 
Kwenye magimbi hapo hata mimi nilishangaa kumuona mama mmoja kijijini anayatafuta anasema wanayapeleka mpaka comoro anasema magimbi ya Kagera yanapendwa kwa sababu hayana harufu.
 
We unachekesha kweli hebu twambie huko ambako wananchi wamejenga halmashauri. Yaani unaacha kuilaumu serikali inayoshindwa kwenda na kasi ya wananchi unalaum wanachi. Sijawahi kusikia wananchi wakichangia kujenga majengo ya halmashauri Tanzania hii ambayo zahanati na madarasa ni shida
Kama wananchi wanazalisha lazima walipe mapato zaidi. Na kwa kuwa Halmashauri itakusanya mapato zaidi, ni lazima iwekeze kwenye miundombinu zaidi.
 
Wana Jf

Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana jambo Lao.

Jibu, wahaya wanapenda sana kula chakula cha asili, mjini ni kwa ajiri ya wageni, hivyo wameamua kujenga kijijini ili waweze kupumzika bila bughuza. Wahaya wengi wanamiliki wafanyakazi katika mashamba yao, hawana haja ya kuinvest mjini kwani hawapatumii. Anaposhuka uwanjawa ndege au kwenye mabasi, uwahi nyimbani kuchinja majogoo na mbuzi, mjini anaweza fika kununua samaki tu. Kwa sasa walioamua kuwekeza kwenye kilimo cha parachichi, kahawa, vanilla,alizeti ,viazi mviringo na magimbi hawana haja ya kukaa mjini kila siku ni kutoa hela tu, bali wanapenda kukaa vijijini kuhudumia mifugo.

Usije sema hawapendi kwao wao sio kama makabila mengine wanoogopa kujenga vijijini kwa visingizio vya kulogwa au kufanyiwa vibaya ,Nendeni mkaone mijumba yakufa mtu alafu mrudi na hoja nyepesi kuwa awapendi kwai. Bukoba wamenyimwa stand na serikali lakini badowakapigana kujenga vijiji bora. Wamenyimwa uwanja mkubwa wa ndege wakaubadirishia Chato wakati wapanda ndege wengi ni wahaya na wakanda.
Kilichokuwa kinawakwamisha ni ukabila sasa makabila mengi yameingia bukoba kulima na kufanya biashara. Wapo masai kibao wanalinda, wapo wasukuma wanalima mpunga, wapo wachaga wamejenga mabaa kibao, wapo wanyairamba wameajiliwa na wachaga kwenye mabaa. Kila kabila lipo acheni uoga mjooni bukoba kumenoga. Mimi nimetoka njombe kuja kulima vanila karagwe

View attachment 1976449
😂😂😂
 
Kama wananchi wanazalisha lazima walipe mapato zaidi. Na kwa kuwa Halmashauri itakusanya mapato zaidi, ni lazima iwekeze kwenye miundombinu zaidi.
Miundombinu gani zaidi ya shule, afya na barabara?? Na katika hayo yote muleba imepiga hatua kubwa
 
Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba yamejengwa kama madarasa ya primary school.

Poverty!
sijui mkuu una stress!! Kwa hiyo wananchi ndo wanajenga majengo ya halmashauri???? Hiki nacho kituko cha kufunga mwaka. Kuna halmashauri mpya zimejengwa na serikali majengo mazuri lakini ni maskini. Tumia hata robo ya ubongo wako bas kufikiri
 
Subiri IHUNGO ikubaliwe kuwa University maprofesa wabobezi waliojaza Kagera waamue kuifanya university ya kweli usubili matokea. Ya english media, secondary, high school wamemaliza.
Kuna ulazima gani wa kuifanya university mwenda zake pia alikataa hilo
 
Kama umenisoma vizuri wahaya hawana muda wa kujengea wageni, bali wanajenga mashambani kuishi kama wanaume, wale wakuja ndio wanashangaa dar kunatoka mabasi saba, alafu hujui wafafiri wanaenda wapi. Jibu wanaenda mashambani kwao kulikojaliwa vyakula vya kila aina, mboga kama kuku, ng'ombe na kiti moto bado vyawasubiri. Ndio maana watu wengi wanashangaa vijijini kuwa na maendeleo sana kuliko mjini lakini nyumba hizi zikikusanywa hata Arusha inasubiri.
 
Wewe una utani na Wahaya!

Wanakagera kumbukeni kwenu, hakuna cha maana, mkiwa miji ya wengine mnajitapa lakini fika wilaya za mkoa wa Kagera yaani utaona aibu
 
Mji wa bukoba hauna kitu usiitupie lawama serikali kwani imewazuia raia kujenga majumba makubwa
Mji wa Bukoba unawezakuwa hauna majengo mengi marefu lakini bado watu wamejenga majengo mengi mazuri na sasa hivi umejengwa kwa kasi kiasi kwamba umeshaungana na Bukoba dc kwa kata za jirani. Tunapozungumzia serikali kuutekeleza mji wa Bukoba kama wewe umefika Bukoba utaona kwamba miundombinu haiendani na hadhi ya mji
 
Back
Top Bottom